Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Nmemsikia jemedali akimjibu yule mgonjwa wa dr kigwangala,Nchemba ni kiboko yao
Hakika Mkuu. Jemedali kajibu vema sana mpaka amebaki anainamia kichwa chini tu
 
Hakika Mkuu. Jemedali kajibu vema sana mpaka amebaki anainamia kichwa chini tu

Nmemsikia amesoma hadi hansard ya bunge alivokuwa anawapondea wazanzibar hafu leo amejifanya ni mzanzibar! Yule bwana mnafiki sana,shame on him,kila kukicha watu wanamuona ni wa ajabu sana
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.

Post imekosa mvuto kwasababu ya kuposti wewe na kuchangia wewe.
 
kumbe huu muungano ni wa vyama na si wa wananchi?
Nitolee mfano wa Muungano Duniani ambao ni wa wananchi. Muungano wetu ulikuwa ni matakwa ya Nyerere na Karume. CCM ikapokea kupitia vyama asisi yaani TANU na ASP. Mpaka sasa muungano wetu upo vema. Kuna watu walijaribu mpaka kuwaua waasisi wetu. Walifanikiwa kumuua mzee Karume lakini hawajafanikiwa kuua muungano. Wamebaki vibaraka wao akina Lissu na Warioba. Bahati nzuri tunawaona na tunajua njia zao. Hawatusumbui hata kidogo. Ni wepesi sana hawa
 
Kwani wewe ulitaka nani awe Waziri. Au unadhani ndani ya CCM kuna kupeana peana tu kama mfanyavyo nyie misukule? Hivi Joyce Mukya alistahili kuwa Mbunge?
ndani ya ccm uwaziri, ukuu wa mkoa, wilaya na vyeo vingine ni vya kupeana tu, mawaziri walikuwa zamani enzi za nyerere, jk amedhalilisha sana nafasi za uwaziri, yaani mpaka magaidi na wauaji, na pia wala rushwa wamepewa uwaziri! Viti maalumu ndani ya ccm ni vya kujuana na kuvuliana vyupi na wakubwa!
 
Nmemsikia amesoma hadi hansard ya bunge alivokuwa anawapondea wazanzibar hafu leo amejifanya ni mzanzibar! Yule bwana mnafiki sana,shame on him,kila kukicha watu wanamuona ni wa ajabu sana
Ni ndumila kuwili huyu. Wana UKAWA wa kutoka Zenji wameelezwa kuwa waache mchepuko
 
Umesikia jinsi alivyokuwa anamchana chana Lissu kweli? Au ndo nyie mnaokurupuka kuchangia
Kuna tofauti kati ya 'kusikia' na 'kusikia halafu ukaelewa'.

Maana ya kwanza inakuhusu, na ya pili ndiyo iliyonihamasisha kutokubali maoni yako katika uzi huu.

Nichangiapo uzi wowote huwa nawakilisha mawazo na mtazamo wangu binafsi, neno ''nyie'' halijatumika kiusahihi.
 
Mwigulu ni mchumia tumbo amekubali elimu yake itumike kunyonya damu ya ndugu zake. Poor maintarahamwe.
 
Mwigulu ni mke wa nani vile ktk thithiem? cjui j na k
 
Waziri Samiha Suluhu anasema kuwa waliyoandika kwenye Taarifa ya Kambi ya Upinzani na Lissu ni Fulana ya Halikuniki kwa maana wamewasilisha hoja ambazo bunge hili si mahala pake
huyu mama hana hadhi ya uwaziri, amebebwa tu na hana uwezo wa kujibu hoja zaidi ya mipasho tupu!
 
Hivi wakati unapokea kile achoongea Gaidi Mwigulu na kukiandika hapa hukuona aibu kama binadamu wa kawaida anayetumia akili kufikiri, au kwakuwa unachumia tumbo basi hata hata matapishi ya Mwigulau uko radhi kuyapokea mradi dhamira ya kuchumia tumbo imekamilika.
Kwa akili ndogo za hata mtoto wa vidudu mtu anaweza kuona Mwigulu anaongea la maana?

Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.
 
kwa hakika wewe akili yako haikupona pale Milembe, Lisu ni kichaa, mwendawazimu, juha, jambazi, msaliti, mfitini, mwehu, mjinga, mbumbumbu, mpenda madaraka. Hafai kuwa ktk Taifa takatifu kama Tz. Ni bora AFE.
sishangai kwa hayo uliyoandika, maana najua wewe uko kazini kuhakikisha unaenda chooni, mwigulu huwezi kumfananisha na lissu hata robo! Hakuna mwanainterahamwe anayeweza kujibu hoja za lissu zaidi ya porojo na mipasho, huo ndo ukweli!
 
Back
Top Bottom