Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Mwigulu amechanwa chanwa yeye hana data anaminyana minya tu
hakuna uwaziri hapo ni zaidi ya kubebwa tu, huyu mama amepewa uwaziri kwa sababu ya uzanzibar na uanamke! Yeye anachojua ni porojo na kejeli basi!Samiha Suluhu amebwaga takataka za Lissu kama Warioba alivyobwaga takwimu za Chopa za CHADEMA
mwigulu ni kiboko ya wapenda demokrasia, hana nia njema yeyote na watanzania, ndo maana amerahisisha wizi pale BOT wa bilioni 200!Nmemsikia jemedali akimjibu yule mgonjwa wa dr kigwangala,Nchemba ni kiboko yao
mkuu unauliza makofi polis?Kwani CCM kinajiweka chenyewe madarakani?
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.
kwa maelezo yako hapo juu muungano huu si halali, kumbe yalikuwa makubaliano ya watu wawili, basi ni wakati mwafaka wa kura ya maoni kwa wananchi juu ya muungano!Nitolee mfano wa Muungano Duniani ambao ni wa wananchi. Muungano wetu ulikuwa ni matakwa ya Nyerere na Karume. CCM ikapokea kupitia vyama asisi yaani TANU na ASP. Mpaka sasa muungano wetu upo vema. Kuna watu walijaribu mpaka kuwaua waasisi wetu. Walifanikiwa kumuua mzee Karume lakini hawajafanikiwa kuua muungano. Wamebaki vibaraka wao akina Lissu na Warioba. Bahati nzuri tunawaona na tunajua njia zao. Hawatusumbui hata kidogo. Ni wepesi sana hawa
kwa undumila kuwili, hakuna kama jk! Mara katiba ni suala lisilo la vyama, mara ccm tuna msimamo wa serikali 2!Ni ndumila kuwili huyu. Wana UKAWA wa kutoka Zenji wameelezwa kuwa waache mchepuko
kwa hiyo ulitaka wabunge wachadema washangilie unguja kuwa na majibo more than 10 wakati ni eneo do acheni ujinga huoNmemsikia amesoma hadi hansard ya bunge alivokuwa anawapondea wazanzibar hafu leo amejifanya ni mzanzibar! Yule bwana mnafiki sana,shame on him,kila kukicha watu wanamuona ni wa ajabu sana
hakuna chochote zaidi ya mipasho, kejeli na matusi!Leo lissu kaumbuliwa kikwelikweli
huyo gaidi hana hoja,nashangaa sana misukule kushabikia huo utumbo wa huyo interahamwe. Ni aibu mtu mwenye akili timamu kumshabikia muuaji,pia ni aibu kwa yeyote aliye mzalendo wa kweli kusapoti mambo ya huyo muuaji.hata hivyo sio kosa lenu,njaa tu zinawasumbua!
mwambie jk amteue mkuu!Mteue basi awe Waziri
sio ndani ya Ukawa tu, huyu mama hafanani na mwanamke yoyote ndani ya ccm ama nje ya ccm! Huwezi kumfananisha hata na waziri wa fedha madam mkuya! Samia kabebwa..Hivi Samiha Suluhu utamfananisha na mwanamke gani ndani ya UKAWA?
kwa hiyo ulitaka wabunge wachadema washangilie unguja kuwa na majibo more than 10 wakati ni eneo do acheni ujinga huo