Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Kwahiyo nyie mliomtukana nyerer na karume ndiyo mnaona mko sahihi sana au unasumbuliwa na ii kwenye kichwa chako.

Nyerere na Karume wametukanwa lini? Na tangu lini hii CCM ya 'kisanii' imeanza kuwaheshimu Nyerere na Karume?
 
Hawa CCM kila wakati wanafikiria machafuko kutokea. Hivi wananchi hatuwezi kufikiria kuhusu mustakabali wetu? CCM ndio wanahamasisha vita. Rejea kauli ya Rais/Mwenyekiti CCM: Jeshi litapindua nchi kwa serikali 3. Mwigulu na filamu ya ugaidi na ushahidi wa mbinguni,bomu la Arusha kwenye mkutano wa Chadema(kumbuka aliwaambia watu kutakuwa na mauaji kwenye mkutano wa chadema siku moja kabla ya tukio). CCM acheni ugoigoi/legelege, kauli ya Rais. Wapigeni tu,nasema wapigwe tu, kauli ya waziri mkuu. Ongezea kauli nyingine za uchochezi toka kwa CCM.
Pengine wanadhani machafuko yatawasaidia flush uharo uliowaziba hawa jamaa....na hawan aakili mbadala
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.

lizaboni muhulize mwigulu vipi cd ya iptl imeuza?
 
Mbona jioni kwenye kuhitimisha wakati bunge limekaa kama kamati na Lissu kurudia kauli yake na data za jinsi mgao wa 4.5% usivyotekelezwa kupelekwa Zanzibar walinywea alipotaka kuzuia mshahara wa Waziri?
Lissu alipata nafasi ya kufafanua nini kasema na wakashindwa kujibu kwa hoja na huyo Mwigulu hakujitokeza. Kama sio busara za Zungu mwenyekiti wa Bunge serikali ilikwisha umbuka.
Katika hili Mwigulu alikuwa analeta porojo tuu, na kwa vile maccm yanapenda porojo basi wameona kaongea la maana, ila ni kwamba hamna kitu pale.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nyerere na Karume wametukanwa lini? Na tangu lini hii CCM ya 'kisanii' imeanza kuwaheshimu Nyerere na Karume?
Dah! Hakika wewe ni zaidi ya msukule. Kwa hiyo unatufanya Watanzania kuwa hatujasikia matusi ya Lissu kwa waasisi wa muungano wetu?
 
Mbona jioni kwenye kuhitimisha wakati bunge limekaa kama kamati na Lissu kurudia kauli yake na data za jinsi mgao wa 4.5% usivyotekelezwa kupelekwa Zanzibar walinywea alipotaka kuzuia mshahara wa Waziri?
Lissu alipata nafasi ya kufafanua nini kasema na wakashindwa kujibu kwa hoja na huyo Mwigulu hakujitokeza. Kama sio busara za Zungu mwenyekiti wa Bunge serikali ilikwisha umbuka.
Katika hili Mwigulu alikuwa analeta porojo tuu, na kwa vile maccm yanapenda porojo basi wameona kaongea la maana, ila ni kwamba hamna kitu pale.

Sent from my iPad using JamiiForums
Binafsi nimesikia hoja za Lissu. Kinachomsumbua Lissu ni uelewa. Haya mambo ya hesabu hayajui kabisa. Waziri Sada Mkuya alijitahidi kumuelimisha ila maskini Lissu, namba hazipandi kabisaaaaa!
 
Mwigulu amekimbia bungeni kwa kuhofia maswali toka kwa lissu jioni angalia Waziri wa fedha ameshindwa kujibu hoja za msingi za lissu, mwigulu alistuka akaona asepe asije akaaibika lissu Noma

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuna hoja ambayo Waziri wa fedha kashindwa kujibu. Tatizo ni uelewa mdogo wa masuala ya fedha wa Tundu Lissu
 
Nimemsikia vizuri,kiukweli mwigulu ni mtupu sana maneno yake yoote ni vijembe na sio hoja. Yeye kama mchumi na waziri wa fedha angemjibu hoja za Lissu sio kumkejeli na kumtukana. jamaa mtupu mno.
 
Binafsi nimesikia hoja za Lissu. Kinachomsumbua Lissu ni uelewa. Haya mambo ya hesabu hayajui kabisa. Waziri Sada Mkuya alijitahidi kumuelimisha ila maskini Lissu, namba hazipandi kabisaaaaa!

Alichokuwa anafanya Sada ni porojo tuu. Lissu kahoji iweje data za Waziri wa fedha na mwenzie zisiendane? Pia hata hizo commitments za misaada ya kibajeti kwa 2014/15 mbona figure inayotajwa hata hiyo 4.5% inayotakiwa haifiki? Wewe unasema Lissu hesabu hazipandi mbona Sada mwenyewe kakubali yaishe na kwamba kama kuna makosa watarekebisha?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nimemsikia vizuri,kiukweli mwigulu ni mtupu sana maneno yake yoote ni vijembe na sio hoja. Yeye kama mchumi na waziri wa fedha angemjibu hoja za Lissu sio kumkejeli na kumtukana. jamaa mtupu mno.

Huwa hajui hata ana wadhifa gani. Hana tofauti na Komba au Lusinde. Huwa najiuliza huo wadhifa wa Unaibu waziri alipewa kwa vigezo gani huyu?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Huwa hajui hata ana wadhifa gani. Hana tofauti na Komba au Lusinde. Huwa najiuliza huo wadhifa wa Unaibu waziri alipewa kwa vigezo gani huyu?

Sent from my iPad using JamiiForums

Jamaa ni mweupe sana kiukweli.
 
Hivi huyu ndyo naibu waziri kweli heeeeeeee kweli aliemteuwa nae mhhhhhhhh kazi kweli kweli kilaza huyu mropokaji
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.

Wakuu Mods.
Tunaomba Muinganishe hii Thread na hii hapa Chini

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kuhusu-muungano-bungeni-12-mei-2014-a-2.html

Then from here tunaweza kuona ni nani kwachanwa chanwa na nani huonaga haya kujitambulisha kuwa anatoka Singida kwa Matendo ya Mwenzake

cc Invisible
 
Last edited by a moderator:
Lissu kaonesha unafiki wa hali ya juu. Nashukuru mheshimiwa CHOMBO. Amesema kuwa mwasisi wa Mapinduzi Sheikh Karume aliuawa na wapinga mapinduzi na muungano kama alivyo Lissu
Lizaboni umelewa kangara?Mbona title yako haiendani kabisa na huko uliko kuita kuchana chana?

Sasa hapo ulicho andika kamchana chana kwa hoja ipi ya maana ambayo Mwigulu kaiwasilisha Bungeni?

Mkitoka vilabuni muwe japo mnalala ili msiwe mnatuletea utumbo wenu hapa!
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nimesikia hoja za Lissu. Kinachomsumbua Lissu ni uelewa. Haya mambo ya hesabu hayajui kabisa. Waziri Sada Mkuya alijitahidi kumuelimisha ila maskini Lissu, namba hazipandi kabisaaaaa!
mkuu mwenye tatizo la uelewa ni wewe! Lissu amefafanua mambo mazito sana bungeni jinsi zanzibar inavyopunjwa na tanganyika! Ndo maana wazanzibar wanamwita christiano ronaldo.! Hoja za lissu ni ngumu kujibu, ndo maana kinachojibiwa mara nyingi ni porojo, kejeli na mipasho badala ya hoja!
 
Huwa hajui hata ana wadhifa gani. Hana tofauti na Komba au Lusinde. Huwa najiuliza huo wadhifa wa Unaibu waziri alipewa kwa vigezo gani huyu?

Sent from my iPad using JamiiForums
kigezo kilikuwa uwezo wake wa kutukana na kukejeli wapinzani majukwaani" jk anagawa vyeo vya uwaziri mpaka kwa magaidi na wala rushwa!
 
Back
Top Bottom