Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.

Hapa siyo suala la kuitana majina bali ni kujibu hoja za Lissu. Hoja alizoibua Lissu pamoja na hard evidence zake zinahitaji utulie ile uweze kujibu. Kutumia muda kudai eti unaona aibu kutoka sehemeu moja na Lissu hiyo ni hoja ya kitoto.
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.

Yani nilipoona Hearding yako nlifurahi mno, nilidhani sasa Mwigulu amejibu hoja zote za Lisu, kumbe nonsense as ussual!!
by the way who is Mwigulu mpaka ajibu hoja za Lisu!! i was stupid enough!
 
Ni watu wapumbaf na wapuuzi tu ndo wanaweza kumshabikia mtu kama Mwigulu Nchemba. Tangu huyu jamaa aingine kwenye siasa sijamsikia hata siku moja akiongea pointi!

Ni kweli Tundu Lissu anatoka Singida sawa na Mwigulu Nchemba. Hawa ni watu wawili tofauti kabisa unapowaweka kwenye upi-mzani! Sishangai wala sitakaa nishangae kumsikia Mchembe akisema ni aibu kwake kujitambulisha anatoka Singida kwasababu siku zote Tundu Lissu anaonekana anamzidi Mwigulu Nchemba kwa kila kitu, kwa akili,busara,hekima, maarifa. Nina hakika Tundu Lissu akikaa darasa moja na Mchemba siku zote Mchembe atashika mkia.

Mwigulu Nchemba hana sifa yoyote ya kuwa hata Balozi wa kaya kumi. Ni mojawapo ya mazezeta wa CCM ambao leo ndo wanaonekana kuwa ni vichwa ndani ya chama ilhali ni makapi na takataka za kutupwa. Kama ingelikuwa enzi za Mwalimu huyu asingeonekana popote kwenye uongozi wa Kitaifa.

Nina hakika huyu Mchembe hatasikika kwenye Utawala wa Awamu ijayo, iwe ni wa CCM au wa chama kingine chochote.Jaribuni kufanya utafiti mdogo tu kwamba tangu Mchembe aingie kwenye siasa za CCM,hadhi na heshima ya CCM imeporomoka na kushuka kwa kasi kubwa. Mchembe is nothing but just a mere hooligan in politics.

Shame on you Mwigulu Mchembe.
 
Mwigulu hana hadhi ya kuongea au kutaja hata jina la Lissu. Mufilisi huyu.
 
Huyo hakuwa mtu wa kumsikiliza kabisa.Sisiemu ni mufilisi kabisa hawana hoja zenye mashiko.ujinga wa watanzania ndiyo mtaji wao.
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.

Mwigulu ni shetani anayeinamishwa
 
Mwigulu anastahili kuburuzwa kortini kwa makosa yake yanayofahamika.
 
mi nilijua amejibu kumbe amesema anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka mkoa mmoja na jembeeee.
 
Mwigula ndio chanzo cha umasikini wote huh hadi akina Kagame wanatuzalau wa Tz kwanini wasitupishe hapo turejeshe heshima ya nchi
 
Back
Top Bottom