Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Mwigulu amekimbia bungeni kwa kuhofia maswali toka kwa lissu jioni angalia Waziri wa fedha ameshindwa kujibu hoja za msingi za lissu, mwigulu alistuka akaona asepe asije akaaibika lissu noma


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tofauti ya Mwigulu na Tundulisu ni kuwa Tundulisu kaongea kwa kutoa ushahidi hku Mwigulu kazungumza kama mshereheshaji katika harusi.
 
Mwigulu amekimbia bungeni kwa kuhofia maswali toka kwa lissu jioni angalia Waziri wa fedha ameshindwa kujibu hoja za msingi za lissu, mwigulu alistuka akaona asepe asije akaaibika lissu Noma


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hawa CCM kila wakati wanafikiria machafuko kutokea. Hivi wananchi hatuwezi kufikiria kuhusu mustakabali wetu? CCM ndio wanahamasisha vita. Rejea
kauli ya Rais/Mwenyekiti CCM: Jeshi litapindua nchi kwa serikali 3.
Mwigulu na filamu ya ugaidi na ushahidi wa mbinguni,bomu la Arusha kwenye mkutano wa Chadema(kumbuka aliwaambia watu kutakuwa na mauaji kwenye mkutano wa chadema siku moja kabla ya tukio).
CCM acheni ugoigoi/legelege, kauli ya Rais.
Wapigeni tu,nasema wapigwe tu, kauli ya waziri mkuu.
Ongezea kauli nyingine za uchochezi toka kwa CCM.
 
Wenye akil ndogo kama mtoa mada ni wengi sana tz(simple minded people) mm nimefuatilia mjadala wa asbh mpaka linaisha saa7, ameongea kipi chemba cha maana zaidi ya kupanic na kulopokalopoka? Hebu 2mieni akil zenu sometimes kuliko ku2miwa na wanasiasa...! Shame
 
Hivi Huyu gaidi wa CCM naye anajiita ni msomi? AMEINGIA WIZARANI NA FEDHA ZIMEANZA KUFISADIWA BOT BILLION 200.yeye na majizi mengine waendelee na wizi ,siasa hawaiwezi. TUNDU LISU MWAKA ATAWASHUSHA SULUALI NA SKETI MPAKA KWENYE MAGOTI
 
Mkuu, labda kama wewe unaona kuwa ni pumba. Ila hakika Lissu leo anaumbuliwa kama anavyoumbuliwa mara kwa mara

Mwigilu ni kama sisimizi kwa T.LISSU hana hata ubavu wa kushindanan naye kwa hoja makini.
 
Nilichoona mm hapo lisu kaongea kama walivyozoea wapinzani wa Tanzania ni kulalamika tuu na kupanda chuki na si kuonyesha njia mbadala. Upinzani Tanzania bado dhaifu sana.

mbona sion chuki yyte hapo?je aliyosema ni ya kweli au si kweli?na kama si yakweli ukweli ni upi?
 
Tatiza la wanaccm ni kuendekeza ushabiki katika kila jambo. Ni vigumu kuona ni wakati gani waccm wako serious katika mambo yao. Walishakataa kufikiri tangu sjku nyingi. Hoja wanayoijua wao ni "uwingi wetu" dhidi ya "uchache wao" katika kila jambo. Kwa uwingi wao ccm hawajisumbui kufukiri. Mwigulu hajawahi kumchana TL hata siku moja. Lisu ni mlemavu kwa sababu ni genius kiasi kwamba akili ndogo hawamwelewi. Kipedagogia mtu mwenye akili nyingi ni mlemavu kwa sababu watu wengi huwa hawana wa kumwelewa TL.
 
Huyo naibu waziri ni mpayukaji hana hoja badala yake anakimbilia kuwaomba CUF waende kwenye mazungumzo na CCM Zanzibar hapa naona CCM wamekabwa koo

Matokeo ya kutukana wazee wenye busara na wanaoijua historia ya nchi (kama Dr Salim, Jaji Warioba, Butiku, Moyo), ndio hayo sasa - CCM inajikuta inawategemea 'loose cannon' .

Mwigulu wala haelewi ni kitu gani Lissu anaongea na ndio maana anajikita kuongea alikotoka - Singida!
 
Wana jamvi leo hotuba ya mh lissu imemfanya ndugu mwigulu kusema kuwa lissu ni mchochezo kwakutoa hotuba ya kuleta hofu kwa wa zanzibar kwakusema tanganyika ina itawala znz(tanganyika colonize zanzibar since 1964),swali kwake ndugu mwiguku;alisema atatoa ushahidi dunia na mbinguni chadema ni magaidi je huu si uchochezi wana jamvi?
Kwani uongo mwigulu mnona alizungumza ukweli mtupu chadema ndivyo walivyo.
 
Matokeo ya kutukana wazee wenye busara na wanaoijua historia ya nchi (kama Dr Salim, Jaji Warioba, Butiku, Moyo), ndio hayo sasa - CCM inajikuta inawategemea 'loose cannon' .

Mwigulu wala haelewi ni kitu gani Lissu anaongea na ndio maana anajikita kuongea alikotoka - Singida!
Kwahiyo nyie mliomtukana nyerer na karume ndiyo mnaona mko sahihi sana au unasumbuliwa na ii kwenye kichwa chako.
 
Kwani uongo mwigulu mnona alizungumza ukweli mtupu chadema ndivyo walivyo.

njaa inaakufanya ushabikie hata ujinga ili mradi mkono uende kinywani,hivi ni nani kawaroga nyie mainterahamwe???
 
Kwahiyo nyie mliomtukana nyerer na karume ndiyo mnaona mko sahihi sana au unasumbuliwa na ii kwenye kichwa chako.

acha kukalili mbwiigga wewe,tuwekee hapa hayo matusi.Mainterahamwe mumezoea kuishi kwa uongo mkiambiwa ukweli mnaweweseka mmetukanwa? Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja hutaviweza!
 
Hivi CCM ikiongozwa na Raisi wao...haoni matusi na kejeli walizompa Jaji WArioba?ama ni nyege zinawapanda punde tu aongeapo Tundu Lisu?
 
Back
Top Bottom