Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

aumbuliwe kwa huo uharo wa huyo gaidi muuaji? Watz wa leo si wale wa miaka ya 90 mliowanyima elimu hivyo kuwafanya wasijitambue!Big up sana kamanda Lissu kwa kuwaeleza waTz ukweli.
Lissu kaonesha unafiki wa hali ya juu. Nashukuru mheshimiwa CHOMBO. Amesema kuwa mwasisi wa Mapinduzi Sheikh Karume aliuawa na wapinga mapinduzi na muungano kama alivyo Lissu
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.

Hivi Lissu na Kinana+Nape nani anayefitisha Wazanzibar?
CCM mikutano yao yote ni ubaguzi mwanzo mwisho!
Wamesema Srikali ya umoja wa kitaifa ivunjwe!!!
 
Anatoa ufafanuzi kuhusu misaada na mikopo ya nje. Anasema kuwa kuhusu misaada, Zanzibar inaweza kusimama peke yake. Kuhusu mikopo anasema kuwa Zanzibar inaweza kukopa kwa kushirikiana na serikali ya Muungano

Acheni kukwepa swali jibuni maswali yake halafu kama muongo mwambieni athibitishe kama hamuogopi mm naanza kuamini mnatudanganya sana
 
Mwigulu hawezi kumfikia lisu hata robo! Alichoongea ni blah blah tu! Hakuna jipya! Hivi kweli mwigulu ni mtanzania? SIAMINI KAMWE!
lissu ni mgonjwa wa kudumu mirembe...sema huwa anatoroka anakatisha dozi hadi akamatwe afungwe na kamba arushwe wodini
 
Mwigulu hajawahi kuongea kwa hoja zaidi ya kutoa mvua ya mate.

Mbele yake angetakiwa aketi KOMBA afaidi mate maana huwa AC za bunge hazimtoshi.

Shida ya Mwigulu huwa anajiona yupo juu zaidi ya waliomtangulia.

Huyu bwana anatudhalilisha watu wa Iramba.
 
Acheni kukwepa swali jibuni maswali yake halafu kama muongo mwambieni athibitishe kama hamuogopi mm naanza kuamini mnatudanganya sana
Maswali yote aliyouliza na hoja zake zimejibiwa. Kuna hoja gani ambayo unadhani kuwa haijapata majibu mujarabu?
 
Waziri wa fedha naye anashindilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Lissu na UKAWA

Tulia ww wenzio wote wanawasihi Cuf warudi meza ya mazungumzo na ccm huko Zenji hali mbaya CCM wajua ukawa ni mwiba wa papa
 
Ukisema mwingulu kamchana lisu tunakuwa na wasiwasi na akili yako yani mambo Ya wazi anayoelezea lisu huyaelewi utumbo anaoongelea mwingulu ndio unaouelewa?
 
Mwigulu hajawahi kuongea kwa hoja zaidi ya kutoa mvua ya mate.

Mbele yake angetakiwa aketi KOMBA afaidi mate maana huwa AC za bunge hazimtoshi.

Shida ya Mwigulu huwa anajiona yupo juu zaidi ya waliomtanguli.

Huyu bwana anatudhalilisha watu wa Iramba.
mbona akisimama mnatokwa povu
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.

huo upuuzi wa kuficha historia ndio tusioutaka,huu muungano umekaa kihuni kwa maslahi ya wachache,nashangaa vibwengo kama nyie kushabikia huu ujinga wa huyu muuaji.
 
Mwigulu hajawahi kuongea kwa hoja zaidi ya kutoa mvua ya mate.

Mbele yake angetakiwa aketi KOMBA afaidi mate maana huwa AC za bunge hazimtoshi.

Shida ya Mwigulu huwa anajiona yupo juu zaidi ya waliomtanguli.

Huyu bwana anatudhalilisha watu wa Iramba.
Mkuu, hakika Mwigulu akisimama tu kuna watu wanaomba poooo.
 
huo upuuzi wa kuficha historia ndio tusioutaka,huu muungano umekaa kihuni kwa maslahi ya wachache,nashangaa vibwengo kama nyie kushabikia huu ujinga wa huyu muuaji.
Tutaulinda muungano huu kwa nguvu zote kama Ukraine wanavyofanya. Na mkituletea za kuleta tutatumia silaha zote kuulinda muungano huu
 
Ukisema mwingulu kamchana lisu tunakuwa na wasiwasi na akili yako yani mambo Ya wazi anayoelezea lisu huyaelewi utumbo anaoongelea mwingulu ndio unaouelewa?

Mwambie Mwigulu atulie Anyolewa na Lissu.
 
Anatoa ufafanuzi kuhusu misaada na mikopo ya nje. Anasema kuwa kuhusu misaada, Zanzibar inaweza kusimama peke yake. Kuhusu mikopo anasema kuwa Zanzibar inaweza kukopa kwa kushirikiana na serikali ya Muungano

Hiyo imeanza lini? Ni siku zote au baada ya watu kuweka mambo hadharani, sasa kwa kuona aibu ndo kuna hicho kiini macho cha Zanzibar KUKOPA KWA KUSHIRIKIANA NA JMT?!!!!!!
 
Sikuzote kila Lisu anapozungumza basi CCM humpa nafasi Mwigulu ku-crash hoja za Lisu na kwa bahati mbaya sana Mwigulu hua hafikii wala hawezi jibu hoja za Lisu.
Siju Mwigulu mwenyewe hua halioni hiloatokeo yake hua anajishushia hadhi tu.
Lisu noma.!
 
Mh. Mwigulu angejibu hoja za mh. Lissu kwa hizo data halisi tungemuelewa. Hapo bado hapajajibu maswali ya msingi yaliyoulizwa na Lissu. Bado tunajibu maswali ambayo ni sensitive kwa majibu ya mzahamzaha. Serikali tangia BMK hadi BUNGE hili la Jamuhuri, bado maswali ya Lissu hayajajibiwa.

Mkuu ndo yale yale ya kili ndogo.....
Hivi huu uthubutu wa kusema Lissu anachonganisha wanautoa wapi ilihali walikuwa na ujasiri mkubwa kuushangilia utumbo wa ubaguzi na uchochezi wa kidini wa Lukuvi? angeanzia na huyo basi... si kujibu urojo kwa mambo ya msingi!
 
Back
Top Bottom