Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Wewe ni nyumba ndogo

hahahaha akili ya lumumba hyooo.....vp kwa nn usifikiri kuwa alichosema lissu kuhusu misaada ya zanz kupigwa pang a....na alichosema mwigulu na hyo waziri n kwa sababu ya utegemez wa kudumu ya budget.....!!!!!
 
Wana jamvi leo hotuba ya mh lissu imemfanya ndugu mwigulu kusema kuwa lissu ni mchochezo kwakutoa hotuba ya kuleta hofu kwa wa zanzibar kwakusema tanganyika ina itawala znz(tanganyika colonize zanzibar since 1964),swali kwake ndugu mwiguku;alisema atatoa ushahidi dunia na mbinguni chadema ni magaidi je huu si uchochezi wana jamvi?

Alienda kutoa mapepo kwa TB Joshua baada ya kuona hali si nzuri.
 
Tutaulinda muungano huu kwa nguvu zote kama Ukraine wanavyofanya. Na mkituletea za kuleta tutatumia silaha zote kuulinda muungano huu

Mara nyingi akili za maccm huazimana,ukiwa mwanaccm lazima ujitoe UFAHAMU.
 
Tutaulinda muungano huu kwa nguvu zote kama Ukraine wanavyofanya. Na mkituletea za kuleta tutatumia silaha zote kuulinda muungano huu

Hahaaa.. kwa vile nyie ndo wneye hati miliki ya 'inji' hii!
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.
Ukweli ni kwamba Mwigulu wako, hakujibu hoja hata moja ya Mheshimiwa Tundu Lisu badala yake ameishia kumshambulia Tundu Lisu binafsi! Kwahiyo hoja za Tundu Lisu zinabakia ngumu kumeza!
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.

Msitake kutuamisha kwenye mada tunahitaji kujua zile Billion 200 za TANNESCO zilizopotea pale BOT chini ya Uwaziri wa Mwigulu ni nani kazichukua na kaenda kuzifanyia nini.
 
Mkuu, labda kama wewe unaona kuwa ni pumba. Ila hakika Lissu leo anaumbuliwa kama anavyoumbuliwa mara kwa

Waambie wathibitishe uongo wa Lisu au waombe alete ushahidi hujaona Waziri alivyojikanyaga wakati anachangia?
 
Mara nyingi akili za maccm huazimana,ukiwa mwanaccm lazima ujitoe UFAHAMU.
Mkuu, kwani kuna chama chenye viongozi na watu wanaojitambua zaidi ya CCM? Huko kwingine kuna misukule tu. yaani kila kukicha hayatumii kichwa kufikiri. Akija mmoja tu na kusema neno basi woooote wanaunga mkono. Yaani misukule ya upinzani bana!
 
muungano tutaulinda sisi, sio wewe na mwehu wenu lissu
Hakika mkuu. Hawa akina Lissu wanatamani sana muungano huu uvunjike. Bahati nzuri sisi wenye muungano (CCM) tupo macho na tunaulinda usiku na mchana
 
Mwigulu anajua vizuri namna ya ku-deal na hawa matapeli wa kisiasa.
 
Ukiona mtu anaongea na reference kibao get close kwakwe kuna kitu . ukiona mtua anaongea bila ref dahhhmpuuze tuuu
 
Mkuu, labda kama wewe unaona kuwa ni pumba. Ila hakika Lissu leo anaumbuliwa kama anavyoumbuliwa mara kwa

Waambie wathibitishe uongo wa Lisu au waombe alete ushahidi hujaona Waziri alivyojikanyaga wakati anachangia?
Tulia wewe. Lissu akiambiwa ukweli hachelewi kuweka mpira kwapani. Kupna kuwa alichokisema bungeni leo asubuhi ilikuwa ni ulaghai, wakati anachanwa chanwa na Mwigulu na wabunge wengine, muda wote alikuwa anajichekea tu ka taahira vile
 
Mwigulu anajua vizuri namna ya ku-deal na hawa matapeli wa kisiasa.
Hakika Mkuu. Niliona wabunge fulani wa UKAWA wakiomba pooo bahati nzuri Mwenyekiti amekaa vema
 
tangu ulivyopewa mimba ukatelekezwa umekuwa na hasira kweli...tulia dawa iingie uzuri..mwehu ww.

Nahisi wewe ndo kigori maana una kiherehere sana endelea kumsifia huyo mume wako muuaji.
 
Mwigullu ni Naibu Waziri wa Fedha. Utamfananisha na huyu mlalamikaji na mropokaji?
mkuu suala la unaibu waziri wa fedha lisikutishe, chini ya jk yeyote anaweza kuwa waziri almradi awe interahamwe! Kitendo cha jk kumpa unaibu waziri wa fedha kimedhalilisha sana nafasi ya uwaziri!
 
Mkuu, labda kama wewe unaona kuwa ni pumba. Ila hakika Lissu leo anaumbuliwa kama anavyoumbuliwa mara kwa mara

Kuumbuana au kuumbuliwa sio jambo la aibu kwa mtu mwenye kupenda kuelimika! kwani hakuna aliye sahihi kwa asilimia mia kwa mia! Ila ni dhambi kumsingizia mwenzio uongo ama kumsengenya kwa kutumia sauti kubwa inayohimiza uongo kuwa ukweli! ni sawa na mtu kukufokea kwa kusema kuwa UMEJINYEA WEWE NA UNANUKA KINYESI! ilhali siyo kweli! hakika lazima kama unaakili timamu utajikagua na kuhakiki kama ni kweli au lah! sasa tusubiri na Mh.Lissu atatufafanulia vipi kuhusu hizo tuhuma kama ni kweli au lah maana navyoelewa mimi siku zote mtu aliye elimika hachoki kuweka ukweli wazi tofauti na wale waliofuta ujinga tu shuleni!
 
Back
Top Bottom