Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Mahakama ya Tanzania sio muhimili huru kwa asilimia Mia ,bunge pia kwahy cabinet wao wanaendesha nchi wanavotaka
 
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.

Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.

Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.

Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
Jamani
Tusihadaiwe na hizi drama.

Mama tulishamwambia kitambo kuwa aliowateua walitemwa na mwanaKwenda sasa akidhani anawafuta machozi basi wanahamishia kilio kwake.

Hapo wanamsafisha Mwigulu kwa kumlazimisha ajiuzulu.

Hapo wanamuokoa Rais na mapungufu makubwa ya uendeshaji wa nchi.

Rais anapaswa kuviamini vyombo vya serikali na avipe uhuru vifanyekazi. Lakini hili suala la kuwaamini wanasiasa aliowateua ambao wamejipa kazi ya uchawa badala ya kumsaidia atakuja kustuka kumekucha
 
Mikwara mbuzi tuu, wote waliobweka leo usiku huu watatafutwa wapewe bahasha zao kisha utaona kitakachotokea
 
Lissu kasema ni yaleyale ni walewale.
Dah!
Usinione kuwa ninakufuatilia ndugu yangu, kumbe hata huku ulishafika?
Pole yetu sote.

Ninakubaliana na Lissu, lakini sina hakika kama chama kina la ziada na hapa!

Labda niseme tu sijui mnavyoweza kuwa tofauti na CCM ya Samia! Bila shaka utakumbuka nilivyohoji mabadiliko uliyoonyesha kumhusu huyu mama.
 
Jamani
Tusihadaiwe na hizi drama.

Mama tulishamwambia kitambo kuwa aliowateua walitemwa na mwanaKwenda sasa akidhani anawafuta machozi basi wanahamishia kilio kwake.

Hapo wanamsafisha Mwigulu kwa kumlazimisha ajiuzulu.

Hapo wanamuokoa Rais na mapungufu makubwa ya uendeshaji wa nchi.

Rais anapaswa kuviamini vyombo vya serikali na avipe uhuru vifanyekazi. Lakini hili suala la kuwaamini wanasiasa aliowateua ambao wamejipa kazi ya uchawa badala ya kumsaidia atakuja kustuka kumekucha
Nakumbuka mwanzo kabisa tulimshauri sana kuhakikisha anasafisha ghala.

Maana team inayo muangusha ni ile ya sukuma gang.
 
Kwa sauti ya Kidiplomasia alitujibu kuwa waacheni wafanyekazi. Na akasema hawatoi mara kwa mara kwa sababu ni gharama sana mteuliwa kuanza kuizoea teuzi ya mahala alopomteua.

Ambacho kinatupa maumivu ni kwamba, gharama za uzembe tunalipa sisi wadaiwa tozo na hao majizi wakitenguliwa teuzi zao wanaishi kwa amani na mali zetu za wizi
 
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.

Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.

Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.

Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425

Hajawaambia kuwa yeye ni msomi? Nakumbuka kuna siku alisema mambo ya taaluma tuwaachie wenye taaluma
 
Malalamiko hayo hayaanza juzi wa jana. Humu ndani imekuwa ni muda mrefu sana but hakuna ana share hata evidence.
Utalalamika for how long? How about uende field kukusanya vielelezo?
Hiyo ndio njia pekee tuliobakiwa nayo! Hivi sheria alizopitisha marehemu jiwe kuhusu nyaraka na takwimu hukuzisoma au hata kuzisikia tu
 
Ndiyo maana siipendi ccm na sitokaa niipende ccm
JamiiForums260260468.jpg
JamiiForums299422167.jpg
IMG-20230406-WA0146.jpg
IMG-20230406-WA0145.jpg
 
Jamani
Tusihadaiwe na hizi drama.

Mama tulishamwambia kitambo kuwa aliowateua walitemwa na mwanaKwenda sasa akidhani anawafuta machozi basi wanahamishia kilio kwake.

Hapo wanamsafisha Mwigulu kwa kumlazimisha ajiuzulu.

Hapo wanamuokoa Rais na mapungufu makubwa ya uendeshaji wa nchi.

Rais anapaswa kuviamini vyombo vya serikali na avipe uhuru vifanyekazi. Lakini hili suala la kuwaamini wanasiasa aliowateua ambao wamejipa kazi ya uchawa badala ya kumsaidia atakuja kustuka kumekucha
Nadhani nimekuelewa hoja yako mkuu 'Msanii'.

Lakini inanibidi niitafakari kwa kina hii habari yako kwa maana naona ina mkanganyiko mkubwa ndani yake.

Hasa hili la "...kuviamini vyombo vya serikali na kuvipa uhuru vifanye kazi..."; hivi hawa wezi ni akina nani hasa?
Ni hao akina Mwigulu peke yao?

Huyu mkuu atakaye "viamini vyombo", mchango wake ni upi katika kuvisimamia hivyo vyombo?

Kwa maoni yangu ni kwamba, ni kichwa ndicho kilichooza. Huko sehemu nyingine za mwili haziwezi kamwe zikawa salama.
 
Mkuu
Ahsante sana kwa kuirekebisba hoja yangu

Umeweka nyama zaidi katika hoja
 
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.

Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.

Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.

Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
Toka tupate uhuru hakuna kipindi ambacho watanzania wamepitia kipindi cha msoto kiuchumi kama wakati huu wa mwigulu akiwa waziri wa pesa.
Chakula kwa familia nyingi kimegeuka kuwa anasa kutokana na mfumuko wa bei.
 
Alafu bila kusahau tozo ambapo alituambia kuwa kama tunaona tozo ni mzigo kwetu basi thamie Burundi.
 
Pesa inaibiwa halafu tunajiuliza tumuwajibishe nani wakati waziri muhusika wa fedha yupo anatuambia kama imetuuma sana tuhamie burundi 🤔🤔🤔
Leo amesema wa kulaumu ni Mhe Rais na akaongeza malipo yote upita kwake baada ya kupata idhini yake.
 
Ndio nasema Wizara ya Fedha imetoa pesa,Wizara zilizotumia na kufisadi zipi Sasa hapo Waziri wa Fedha na Rais wanahusikaje?

Swala waliohusika wachukuliwe hatua na kama hawachukuliwi manake kinachoitwa Ufisadi ni makubaliano ya wakubwa.
Tunasema tunayoyasema ni kwa vile hatujaambiwa wezi ni akina nani, hapo ndipo nilimpendeaga Magu.
 
Huyo ni Mwigulu!..

Vipi yule pale juu anakaliwa kooni lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom