Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.

Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.

Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.

Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
Uzuri wa huyu jamaa anajikubali nchi niyake msimtishe
Huyu sindie alisema ambaye hataki ile minyaminya twende basi ahamie Bujumbura bado watu mkagoma kuhama leo tena mnatikisa kibeliti

Time hii anaweza akahamisha bunge lote bila paspoti😂😂😂
 
Report ya CAG imetoka na ipo very open, lkn uvccm na wafia CCM hatuwaoni humu kutoa hoja zenu na kukemea wizi huu. Na hii inaonyesha waz kbs nanyi mnasubir kwa hamu nafas ili mje mfanye ufisadi!!
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.

Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.

Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.

Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
 
Report ya CAG imetoka na ipo very open, lkn uvccm na wafia CCM hatuwaoni humu kutoa hoja zenu na kukemea wizi huu. Na hii inaonyesha waz kbs nanyi mnasubir kwa hamu nafas ili mje mfanye ufisadi!!
Ndiyo maana wapo tayari kumpigia magoti kiongozi wao wa chama ilimradi wapate teuzi
 
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.

Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.

Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.

Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
Hivi kulipa na kutumia Kuna husianaje?

Kwani kama Wizara za kisekta zimeleta invoice za malipo Sasa Waziri wa Fedha asitoe pesa kama nani?

Hiyo ni kazi ya Mwigulu? Hapa wahusika walioongeza bei huko kwenye Wizara zao na kufuja pesa ndio wawajibishwe Sasa unamuwajibisha Waziri wa Fedha Kwa lipi?
 
Wewe unaota mzee,haya majizi hadi yalimfanya mama kuyatukana hadharani
 
Ndio nasema Wizara ya Fedha imetoa pesa,Wizara zilizotumia na kufisadi zipi Sasa hapo Waziri wa Fedha na Rais wanahusikaje?

Swala waliohusika wachukuliwe hatua na kama hawachukuliwi manake kinachoitwa Ufisadi ni makubaliano ya wakubwa.
 
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.

Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.

Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.

Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425

Ibeni tu
 
Ccm ni sawa na chuo cha mipango ya upigaji
 
Hivi hakuna sheria inayoweza kutumika kukamata hizo mali za mshukiwa?
Hakuna Sheria mkuu katiba yakipumbavu mnoo... Ata wewe ukiwa waziri Leo ukaiba Billioni 50 ,hutokamatwa ,utavuliwa uwaziri na unatinga Bungeni kama mbunge rejea Wizi wa Tegeta Escrow
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom