Kumbe babu, mbele yeye nyuma sisi, rip
Kuna jamaa ameenda Dubai kuchanja kimya kimya!Inawezekana alitumia barakoa zilizoletwa na mabeberu.
Ulitaka arushe matangazo TBC kuwa anakwenda kuchanja?Kuna jamaa ameenda Dubai kuchanja kimya kimya!
Chadema muishi milele.Ningeshangaa siku ya leo ingepita tu bure.
Wafe tu
Alisharusha twitter inatosha!Ulitaka arushe matangazo TBC kuwa anakwenda kuchanja?
Wewe si ulisema ilikua kimya kimya?Alisharusha twitter inatosha!