TANZIA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo afariki dunia

Gonjwa limeamua kulamba senior citizens halina mchezo kabisa! Wazee wetu (vijana na watoto pia) msibweteke na maneno ya wanasiasa; juhudi binafsi zinahitajika kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.
Inawezekana na wa kawaida wanaisha lakin hawatangazwi
 
Mzee Enock amekuwa mwanasiasa wa muda mrefu mkoani hapa Simiyu na pia amewahi kuwa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Meatu ambako ndipo yalipo makazi yake na shughuli zake za kikazi na kichama
More updates to come
 
Attachments

  • Screenshot_20210223-125948.png
    Screenshot_20210223-125948.png
    110.3 KB · Views: 1
Gonjwa limeamua kulamba senior citizens halina mchezo kabisa! Wazee wetu (vijana na watoto pia) msibweteke na maneno ya wanasiasa; juhudi binafsi zinahitajika kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.
Si kweli gonjwa linapitia senior citizens tu, common citizens ndio wengi. Matangazo ya misiba hiyo ni misikitini. Kwenye media wakitangazwa swali la kwanza litakuwa: ni nani huyo?
 
Si kweli gonjwa linapitia senior citizens tu, common citizens ndio wengi. Matangazo ya misiba hiyo ni misikitini. Kwenye media wakitangazwa swali la kwanza litakuwa: ni nani huyo?
... senior citizen = elderly person; nilimaanisha hivyo; sikumaanisha viongozi au waliowahi kuwa viongozi.
 
Poleni!

Nakumbuka huyu mzee ndio alichangisha fedha nyingi za kumchukulia fomu ya kugombea urais ya Dr Magufuli 2020, aliwazidi wenyeviti wengine wote!
Inasemekana anaanza ziara ya siku kadhaa Dsm kesho

Labda atatuma mwakilishi kwenye mazishi
 
Back
Top Bottom