TANZIA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo afariki dunia

765430.jpg
 
Sasa unataka magufuli afanye nini?
Heeeee!

Tukadhani angalau leo kupite kimya?

Enyi mlio katika nafasi za kumfahamisha jiwe kubadili uelekeo bora mkafanya hivyo mngali hai.

Itakuwa haina maana sana kufanya hivyo mkiwa mmeshapumzika kwa amani.

Apumzike mwenyekiti huyu.
 
Katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Simiyu ndugu Mayunga George anatangaza kifo cha mwenyekiti wa CCM mkoa ndugu Enock Yakobo kilichotokea leo jumanne februari 22. Habari kamili zitawadia baadaye.
Pole mkuu,hizo habari zikija baadae utujulishe mkuu kama kweli kafariki,naona hii ni kama TETESI.
 
Back
Top Bottom