Mwenyekiti Mpya wa CC

Mwenyekiti Mpya wa CC

Hiyo itakua ofisi au?
Unafika unashida na M/kiti unajibiwa , "hayupo kenda saluni"
Unauliza Makamu je ?
"Makamu kenda kumtoga bintie maskio"
Unauliza katibu nae ?
"Katibu na mweka hazina wameenda kumsuta katibu msaidizi"
Unauliza kuna kiongozi yeyote?
"wote wameenda kutafuta sare ya harusi ya ....."
Judgement mbona vikwazo vingi kwa huu uongozi mpya? Tuwape kwanza nafasi halafu tuone utendaji wao
 
Last edited by a moderator:
BARUA MAALUM KWA WANACC NA MMU WOTE
​


S.L.P. 2014
LADIES ONLY
JF CC NA MMU
​

MODERATOR
S.L.P 000
JAMII FORUM



YAH: MWENYEKITI MPYA WA CC 2014 NA VIONGOZI WENZAKE

Rejea kichwa cha habari hapo juu chasema;

Kwa muendelezo wa mwongozo wa
KATIBA ya CC hapa jamvini. CC imeona ilete uchaguzi mpya wa kumchagua mwenyekiti mpya wa CC kwa mwaka 2014 kwani mwenyekiti aliyekuwepo muda wake wa uongozi umekwisha na hata hivyo katika uongozi wake hakukuwa maendeleo yoyote kwani alisababisha watu wapigwe BAN, wakosane, na mambo ya hapa na pale ilimradi matatizo hapa jamvini ndipo uongozi ukaamua ulete mapinduzi mapya ya kumchagua mwingine kushika nafasi hiyo ambaye ataleta mwamko hapa jamvini.

Hivyo basi jopo zima la CC lilikaa na kupendekeza majina ya wafuatao ambao watakuwa viongozi hapa jamvini kwa mwaka 2014 - 2017 nao ni:-

1 Lady doctor ni MWENYEKITI
2. Mamndenyi ni MWENYEKITI MSAIDIZI
3. ladyfurahia ni KATIBU
4. Passion Lady ni KATIBU MSAIDIZI
5. amu ni MTUNZA HAZINA
6. charminglady ni MTUNZA HAZINA MSAIDIZI

Hao ndio viongozi wa sasa na hatutapenda mtu akate rufaa yoyote mjengoni wala kuharibu uongozi huo kwani hatua kali za kinidhamuna kisheria zitachukuliwa. Ni vyema wanajf wote mkawapa support ya kuwa pamoja nao na kuwasaidia pindi wawaombapo msaada wa hali na mali ili kuimarisha mjengo wetu.

Tunawatakia kila la kheri katika uongozi wao

“Kwa pamoja tunajenga mjengo wetu “


Wasalaamu;

Ladyf

Hii makitu haina wajumbe wa kamati ya maamzi kamati kuu, kamati ya maadili, kamati ya usuruhishi?? Inatakiwa kuwepo na kamati hizi.plz viongizi hawawezi kufanya bila wajumbe au mmeamua kujirithisha viti kiukoo naona umeacha watu mhimu CC Mimi napinga uchaguzi haujafanywa hii ni batili itisha vikao kwanza utaachaje Mtambuzi, mama lara 1? Wengi wengi tu hata Madame B au miss Paloma mhm!!@
 
Last edited by a moderator:
Absolutely your already yourself putin a last nail on the coffin !
Hayo mavituzz yenu ndiyo wanaume watayala kifisadi na ufanisi will be zero !

una maneno we mwanaume mie sikuwezi hata LOL\
wanawake tukiwezeshwa tunaweza
 
Back
Top Bottom