Mwenyekiti Mpya wa CC

Mwenyekiti Mpya wa CC

Nikuambie kitu,
Mie cheo sitaki;
moja kwa moja umeshaniweka na mtu aliyeninyang'anya mume
hivi hiyo ofisi tutaweza hata kufanya kazi au ndo kuvaliana
kanga za misuto misuto tu;

hahahahahaaaa...... Kumbe bado una wivu eeee na niliandaa ile khanga yenye maandishi 'UTANUNA HADI KIAMA, PENZI LETU LIMESHA SIMAMA WIMA'
 
Then mletamada akiulizwa swali na wanaume hapa majibu yake ya ukaliukali tu , hiyo peke yake ni kigezo ni mjamzito!
Mimba jamani zina mambo mengi .
Ndiyo kusema hata hili wazo kalileta kwa nguvu ya mimba.
So far the matter proceedin are completely void !

unamtusi katibu? Nitakuchukulia hatua!
 
kumbe umeshakumbuka mzigo ulioniachia 31/12/2013 wakati wa kiangazi
halafu tarehe 1/1/2014 nikiakupigia simu kukwambia kuwa umenipa mimba
ukakataaa na kuruka kiunzi mita1000 bora umesema mwenyewe jamvini
wameshaelewa kuwa nina mimba yako na ukiikataa nakwenda POLICE POST

Kiongozi yeyote sifa yake ya kwanza ni kutotoa siri za makubaliano .
Kumbuka siri unayoitoa uliapa kutoitoa na laki 5 familia yenu ilinitoza .
Je? Mkikonfamiwa uongozi hapa mtatoboa siri ngapi ? Za members wakati siri yako tu umeitusua ?
Hadi leo watu8 kanigeuza Atm !
Either huoni umeiweka rehani my currently kapo?
 
Last edited by a moderator:
ukaguzi tutaufanya tu kwani tumekwambia tutashindwa
wewe walete wenye miili kama small body au bigibodi?
watakaguliwa na hasa ukimleta bigbody kama Asprin ndo
atakakuguliwa kirahisi kwani yeye ana makeke sana

mashaka yangu kwa hata mabanati mtawakagua nyie....?
 
Last edited by a moderator:
Nikuambie kitu,
Mie cheo sitaki;
moja kwa moja umeshaniweka na mtu aliyeninyang'anya mume

hivi hiyo ofisi tutaweza hata kufanya kazi au ndo kuvaliana
kanga za misuto misuto tu;

Ndo maana hamuwezi kamwe kuongoza nyie.. Maana mtakavyokuwa busy kuwekeana visasi vya wivu kwa kuchukuliana lol.. Imagine ladyfurahia ana mahaba na mie kitambo ila anamuogopa Paloma.. Ataanza kumuwekea visa mwenzie mwisho wa siku tifu la nguvu ofisi haikaliki.. :bump2::bump2::bump2::bump2:
 
Last edited by a moderator:
wanawake na maendeleo tupewe madaraka tusonge mbeleeeeeee!!!!!!!

Whaaat ?
"mbelee" ?
Mbele Shemeji unapajua vizuri lakini ?
Mbele hapakimbiliwagi kiivo !
Mtakuja rejea kila mmoja kashika chauchachu mkoni!
Huyu kashika ubuyu , yule limao, wale ndimu , mwingine ukwaju!
Shaul'lenu .
 
hahahahahaaaa..... Shem lake, bila kushika vya uchachu bado uanamke haujakamilika
 
Hiyo itakua ofisi au?
Unafika unashida na M/kiti unajibiwa , "hayupo kenda saluni"
Unauliza Makamu je ?
"Makamu kenda kumtoga bintie maskio"
Unauliza katibu nae ?
"Katibu na mweka hazina wameenda kumsuta katibu msaidizi"
Unauliza kuna kiongozi yeyote?
"wote wameenda kutafuta sare ya harusi ya ....."
 
yaani wewe..tafsiri zako tofauti kabisaaaa
Whaaat ?
"mbelee" ?
Mbele Shemeji unapajua vizuri lakini ?
Mbele hapakimbiliwagi kiivo !
Mtakuja rejea kila mmoja kashika chauchachu mkoni!
Huyu kashika ubuyu , yule limao, wale ndimu , mwingine ukwaju!
Shaul'lenu .
 
hahahhahahahahahahahah
Hiyo itakua ofisi au?
Unafika unashida na M/kiti unajibiwa , "hayupo kenda saluni"
Unauliza Makamu je ?
"Makamu kenda kumtoga bintie maskio"
Unauliza katibu nae ?
"Katibu na mweka hazina wameenda kumsuta katibu msaidizi"
Unauliza kuna kiongozi yeyote?
"wote wameenda kutafuta sare ya harusi ya ....."
 
Hiyo itakua ofisi au?
Unafika unashida na M/kiti unajibiwa , "hayupo kenda saluni"
Unauliza Makamu je ?
"Makamu kenda kumtoga bintie maskio"
Unauliza katibu nae ?
"Katibu na mweka hazina wameenda kumsuta katibu msaidizi"
Unauliza kuna kiongozi yeyote?
"wote wameenda kutafuta sare ya harusi ya ....."

hahahahahaaaa...... Sa we jajimenti unataka kutuharibia LOL!
 
Back
Top Bottom