Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
His my close friend
kuuumbe!
His my close friend
hahahaa Close friend wa ladyfurahia
kuuumbe!
hahahaha.......... Sante wii, haya 'M' uchekage na wewe unenepe kama friend wako wajameni looh
Nicas Mtei anatutega na hiyo picha yake wallahlakini nyie mnavyogangana kiivyo
mm sijamtaja mhusika au mlengwa ni yupi ila
nyie mnajiumauma na kujing'atang'ata shauriro
hiyo pichakwenye avatar yako imen:typing:
kuuumbe!
Nicas Mtei anatutega na hiyo picha yake wallah
Now you know............
Itabidi utambulisho wa rafiki woote wa dada ako ufanyike
hivi unafahamu kuwa una M wengi mjengoni humu?
"M" atakuwa hachekagi ndio maana.........
Ngoja na mie nianze kuwa nacheka wii kwani kucheka unalipia!!!!!!
Now you know............
Itabidi utambulisho wa rafiki woote wa dada ako ufanyike
na huu ndio utambulisho wa kwanza ni @Nikas Mtei, charminglady, Paloma, nitonye, Passion Lady na wa mwisho ni M
buuuuure kabisaaaaa labda utolewe bandama wii, kicheko utakisikia kwa jirani alafu ukonde kama M hahahahaa
M ni she or he cousin?
Inabidi mods watoe kibali maalum cha ukaguzi yaani special audit kwenye pm za Mtambuzi, Nicas Mtei na Mentor ili kupata ukweli

hatukubaliani na hilo takata rufaa, list yote FEMALE labda jogoo atage