ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
- #101
tatizo kwenu mnatumia solar energy system ndo mana hukuwa hewani wakati wanatangaza washindi hivyo tambua kuwa kuna viongozi wapya mjengoni humu WANAWAKE tumeamua kuchukua mjengo maana naona mnatusaundisha tu bila kuwa na matokeo yoyote na utendaji wenu ni mbovu sana kazi yenu mmekalia majungu na vitisho vya hapa na pale hivyo angalieni wingu jipya lishaingia mjengoni kazi ni kazi bila dawa mtaonyooka sana mwaka huu na patachimbika pasitoshe unalo jipya?
mbona sijaona uchaguzi ukifanyika naona matokeo au mimi ndio sielewi