Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
heee! jamani nimechoka na ngonjera zenu humu!!
usichoke Mamy ngonjera zilikuwepo na zitakuwepo tu
heee! jamani nimechoka na ngonjera zenu humu!!
Kweli vile! We mwenyewe si unaona!??
Itabidi nikukague
Mungu Wangu!!!!!
Mungu Wangu!!!!!
Huku umefuata nini wewe BAZAZI?
Kwani mi si natakak kumkagua kama ana silaha zenye ncha kali nimripoti polisiii......
Usitaje jina la Mungu wako bure
Sichezi tena na wewe....
I love you
I love you
Will you marry me?
Mentor mbona sielewi hapa?Dadadadeeeeki kwahiyo sisi tukilala wewe #bazaziSr ndo muda wa mavuno siyo.
Cc: Vin Diesel na Nicas Mtei - mnaibiwa!
KakaKiiza - leo wewe ndo kwa taarifa na kueka kumbukumbu
Kaizer - mzazi mwenzio huyu.
Will you marry me?
ina maana hujamuelewa kuwa mnaibiwa kitumbua chenu?
au unataka tukuoneshe kwa mifano sema!!
mi sijaelewa ebu weka mfano?
Dadadadeeeeki kwahiyo sisi tukilala wewe #bazaziSr ndo muda wa mavuno siyo.
Cc: Vin Diesel na Nicas Mtei - mnaibiwa!
KakaKiiza - leo wewe ndo kwa taarifa na kueka kumbukumbu
Kaizer - mzazi mwenzio huyu.
Ebwanaee. Nkague na mimi basiii