Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Mke wangu kipenzi marejesho ametulia asije kumtingisha mtoto!
Ukinishtaki utachekesha sana! Wewe unafahamu kukaguliwa kwa passion lady ni utaratibu wa lazima tuliojiwekea! Hakuna ndoa itakayotangazwa na Baba V kwa binti ambae hajakaguliwa! Kwahiyo mnajisumbua tu hapa. Na lazima akaguliwe na mimi!

Ukimaliza ukaguzi urudi nyumbani tafadhali...
 
Hawa viumbe hawashikiki my dear passion lady .... Hata nikimnyima atakuja kwa kificho....Nimeamua nimuache tu aendelee akimaliza arudi tu home.... Daktari kanishauri kipindi hiki niepuke stress....

mh!sawa my dear ila mm hanikagui ng'o nimemgomea lkn ameng'ang'nia huyo,husbnd 2 b mwenyewe kamgomea,mapumziko mema shost maana huby wako pasua kichwa!
 
mh!sawa my dear ila mm hanikagui ng'o nimemgomea lkn ameng'ang'nia huyo,husbnd 2 b mwenyewe kamgomea,mapumziko mema shost maana huby wako pasua kichwa!

kukaguliwa ni lazima bibie! Na huwezi kuolewa kabla hujakaguliwa! Ubishi hautakusaidia kitu! Na huyo Ruttashobolwa anajua wazi ila anajitia wazimu tu! Labda hakutaki ndio maana hataki ukaguliwe wakati anajua hataweza kukuoa!
Kuja pande hii nikukague, usipoteze muda!
 
Last edited by a moderator:
Filipo acha kupotosha nampenda sana akanana passion lady na hakuna atakaye mkagua tena wewe hauna nguvu za kumkagua hebu nenda katulie na shem marejesho!

kukaguliwa ni lazima bibie! Na huwezi kuolewa kabla hujakaguliwa! Ubishi hautakusaidia kitu! Na huyo Ruttashobolwa anajua wazi ila anajitia wazimu tu! Labda hakutaki ndio maana hataki ukaguliwe wakati anajua hataweza kukuoa!
Kuja pande hii nikukague, usipoteze muda!
 
Last edited by a moderator:
Akanana usikubali kabisa!
Filipo ni mbwembwe tu hata nikimruhusu akukague atakimbia! Kifupi hana mamlaka!

mh!sawa my dear ila mm hanikagui ng'o nimemgomea lkn ameng'ang'nia huyo,husbnd 2 b mwenyewe kamgomea,mapumziko mema shost maana huby wako pasua kichwa!
 
Last edited by a moderator:
Hapo kabahatika tu na kamilioni kamoja, kasahau kuongezea na maneno ya kingereza!
Apo ndo shoping ya harusi.....
''Nipe suti kumi kama za rutashobya, viatu vya gucci pair 9..kama vya rweyemamu..
...na mashat ya chuichui..pair nane..na mikanda ya chumachuma pair 7...
Unanierewa rakini...

Aaaghh kwani muuzaji.. Iro duka rote shiringi ngapiiii....!!!
(tangazo la voda)
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Afu Filipo jiangalie sana, siku uvumilivu wa marejesho ukifikia kikomo!? thijui, angalia usimbemende kijacho

Nani kakwambia mtu akishaoa hawezi kufanya ukaguzi!? Asprin anakagua licha ya kuwa na wake wengi tu! Na wifu anafahamu kukaguliwa ni lazima kabla ya lolote humu chit chat, seuse ndoa? Piga ua, lazima nimkague la sivyo ndoa haifungwi. Tumechoka na ndoa zinazovunjika kila siku kisa tu watu hawajakaguliwa!!!
 
Last edited by a moderator:
Mark my words too/ hatokaguliwa na mtu hasa wewe sito kubali ikiwezekana hapatakalika hapa!
Liwalo na liwe!
Cc marejesho

Mkuu mtaishi "masuria" yaani bila ndoa halali! Ni bora ukafuata sheria ufurahie ndoa ya halali. Wewe unajua ila unampotosha mwenzio! Au humtaki!!!?
 
Last edited by a moderator:
enheee!ASPRIN mwenyewe kakubali ndoa ifungwe,FILIPO umekomalia kutaka kuchungulia wake wa wenzio looooo,kwangu umenoa babu

Asprin ame'deligate' swala la ukaguzi kwangu. Hana pingamizi la ndoa yoyote ila lazima muhusika akaguliwe. We endeleza ubishi ukidhani utakusaidia! You're wasting your time. Na huyo Ruttashobolwa anafahamu vizuri ila tu hakutaki ndio maana haoni tatizo kuvunja utaratibu tuliojiwekea! Angekuwa anakutaka/kupenda angefuata taratibu zote! Shtuka!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom