Bravo Engliash
Senior Member
- Jul 29, 2012
- 125
- 53
Baada ya kutumia ubongo wako wooote hilo ndio uliloambua kwenye yoote niliyoandika. Shida ni kufikiri kwa kutumia viungo mbadala. Mimi ni mfanyabiashara na husafiri kwa mabasi sina na sijawahi kuwa dereva. Nilikuwa namwambia huyo juha mwenzio kuwa; mtu hulipwa kwa kazi anayofanya na mfumo wa mlipaji, sasa sijui hilo la dereva limetokea wapi.
Kwa kuwa inaonesha ujinga ni sehemu ya mwili wako acha nikupe mfano mwingine hai: Office Assistant pale TANAPA analipwa 713,000 kwa mwezi, mshahara ambao Bank Teller wa WDB hapati. Sasa uliza tena kama mimi ni OA. Mkichwa mkubwa akil huna
Nyinyi mavichwa maji mnaodhani vyeti ndio the most determinant factor ya mishahara yenu eleweni kwamba, Kampuni na mashirika hayakuanzishwa ili yakupe mshahara, yalianzishwa kwa madhumuni ya kuleta faida au impact fulani. How much you are going to earn depends on how productive is the post.
Kweli mkali umeongea points tupu......watu wengi wanadhan wanaofanyakazi benki wanalipwa hela nyingi sana au ni kwa sababu wana-deal na hela.....inabidi watu tufunguke mawazo:lock1: