Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Hawa magraduate wa sasa hivi kwa kweli vilaza sijapata ona
Na hii ni kwa sababu degree zao za ujanja janja wanawake za kitandani wanaume za kununua
Chuoni akili yao inawaza
Kugoma
Kushabikia chadema
Wakipata boom sasa utawaona wanavyojazana pale Atm mlimani city ku draw 5,000
Halafu sasa tabia yao moja ni kuwa waiwa pale chuoni na waki graduate wanaona kuwa wao ndio wasomi kuliko wote yaani wao ndio wao
Hawa madogo wanadhani mi nawachukia, la hasha!
Bila enthusiasm hakuna tunakokwenda. Huyu sijui ndio katoka chuoni sijui ndio anajikoki lkn ukipima mawazo yake ni hopeless case. Tumefikia sehemu tunaamini makaratasi zaidi ya kile tunachoweza kufanya.
Hii ni namna ya wasomi wasio na elimu ambao kwa akili zao wanafikiri watu hutakiwa wasome ili walipwe mshahara. Huu ni upuuzi, hamna jina lingine.
Na - declare interest, mimi sijafika chuo kikuu, niliishia sekondari tu maisha hayakunipa nafasi ya kuendelea kusoma, lkn napenda kuona watu wanasoma na KUELIMIKA. Napenda waelimike kwa sababu, in near future, (5-7 yrs time) nakusudia ku-invest millions of tshs kwenye mradi ambao utahitaji watu wenye elimu kuufikisha napotaka. With this craps on job market, nitafeli.
Kama kuna mbumbumbu yeyote anaamini vyeti vyake ndio ukombozi kuliko his personal engagement basi awe wa kwanza kucomplain why is Said Bakhressa earning more than graduates (accountants, engineers, salesmen etc) he has employed.
Huu umbumbumbu hautawatoka kwa 'madesa' bali kwa kusoma vitabu. Mna madokta na maprofesa wangapi katika vyuo mnavyohitimu ambao maisha yao ni duni tu kulinganisha na watu waliojitoa kutumia akili zao na ubunifu?