Yaani graduate wa kisasa ni balaaa..
Mshahara haulipwi kwa elimu ni kutokana na kazi unayofanya..
Ceo wengi dunian wana elimu ya degree moja tu labda ikiongezeka ni masters lakin wanalipwa hela nyingi kuliko phd holders au ma profesa..
Mshahara wa dereva tanapa ni mkubwa kuliko wa bank officers yeyete nchini.. Kuna mashirika ya kigeni na asas kibao zinalipa mshahara mikubwa kutokana na funds walizonazo, kazi wanazofanya, na profit wanayoingiza as company turnover..
Mimi ni graduate wa kibongo na nafanya kazi somewhere kwenye jina kubwa lakini nilishangaa secretary wa agricultural council of tanzania analipwa mshahara mara mbili yangu.. Na hapo mshahara naopata ni 7 digits.. Secretary analipwa usd 1500 as a basic salary per month bado ujaweka allowances na mengineyo yanayoleta gross package ni kama usd 2300.. Tena kasoma diploma magogoni hana hata hiyo degree unayojivunia.. Na watu kama hao wapo wengi tu mjini as wanafanya sehem zenye rate nzuri
Na kweli kazi anayofanya huyo secretary ni challenging kuliko kazi ya benk officer...
Dogo vyeti havipangi mishahara.. Position ndo inaamua mshahara na kila organisations ina rate yake hazifanan
Mbona kama umewachana sana khaa...
ulizia access bank wanalipwaje????USIJE UKATOA MACHOZ........
Mwana Mtoka Pabaya upo kaka? njoo uninyooshee wadogo zako huku wamekusahau..... hahahah
Unanionea tu, mimi hata sijamtukana mtu. Nimesema tu kwa mujibu wa matendo na haiba zao. Wao ndio wametukana.
Labda nikuulize mkuu: Kama Mr.A akichukua kiatu chake na kuweka mezani wakati tunakula, na mimi nikakichukua nikakitupa chini na kusema 'PUMBAV!', nani kati yetu ametukana? Yeye aliyefanya UPUMBAVU au mimi niliyesema alichokifanya?
Tpb-915,000 kwa bank operation officer,
nmb- 950,000 kwa (boo)
kcb- 827,000 kwa (b00)
crdb-980,000 kwa (b00)
equity bank- 780,000
dtb 830,000,
access bank 680,000 kwa loan officers,
mkitaka zipo nyingi ntawaorodheshea, nime base rank za 2014/2015,
Baada ya kutumia ubongo wako wooote hilo ndio uliloambua kwenye yoote niliyoandika. Shida ni kufikiri kwa kutumia viungo mbadala. Mimi ni mfanyabiashara na husafiri kwa mabasi sina na sijawahi kuwa dereva. Nilikuwa namwambia huyo juha mwenzio kuwa; mtu hulipwa kwa kazi anayofanya na mfumo wa mlipaji, sasa sijui hilo la dereva limetokea wapi.
Kwa kuwa inaonesha ujinga ni sehemu ya mwili wako acha nikupe mfano mwingine hai: Office Assistant pale TANAPA analipwa 713,000 kwa mwezi, mshahara ambao Bank Teller wa WDB hapati. Sasa uliza tena kama mimi ni OA. Mkichwa mkubwa akil huna
Nyinyi mavichwa maji mnaodhani vyeti ndio the most determinant factor ya mishahara yenu eleweni kwamba, Kampuni na mashirika hayakuanzishwa ili yakupe mshahara, yalianzishwa kwa madhumuni ya kuleta faida au impact fulani. How much you are going to earn depends on how productive is the post.
Mkuu Access bank,loan officer ambaye anafanya kazi ya loan officer anaanzia mshahara wa 180,000/=........mwambieni tu aelewe anakoelekea na sio kumponda...