Mwenye kujua mishahara ya graduate kwenye mabank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye kujua mishahara ya graduate kwenye mabank

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mayu, Oct 3, 2012.

 1. M

  Mayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wakuu kama unajua mshahara wa graduate fresh wa bank yoyote hebu tupia hapa
  Hii ni kwa nafasi za kawaida kama bank officers nk
  Thank you in advance
   
 2. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,075
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Take home ni Laki moja na elfu themanini tu.
   
 3. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Hivi mishahara inalipwa kwa aina ya makaratasi ulioandikiwa baada ya kufanya mtihani wa kukariri au kwa aina ya kazi utakayopewa?

  HIvi mnajifunza nini shuleni nyie kizazi cha nyoka? Well then, acha nikuoneshe ujinga wa kuamini unachoamini badala ya kutumia elimu kufikiri.

  Bank ya Mkombozi (na benki nyingine nyingi tu) ili uwe Teller, inalazimu uwe na Degree moja. Mshahara ni 540,000 - 800,000
  FHI inamlipa dereva Tshs 800,000 - 1m kutegemeana na kiwango cha elimu na uzoefu.

  Graduatism inawafanya mnakuwa maskini mabwege nyinyi
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  kwel wewe ni mwana mtoka pabaya!
   
 5. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Sasa jama wewe ni dereva unataka kila mtu awe dereva??
   
 6. Azizi Mussa

  Azizi Mussa Verified User

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,632
  Likes Received: 2,280
  Trophy Points: 280
  kufanya kazi benki hakudertamine mshahara bali kazi unayofanya huko benki na cheo ulichokitaja cha "bank officer" sidhani kama kipo kwenye benki yeyote.ila kwa ujumla mishahara inatofautiana sana kutoka benki moja na nyingine na pia kati ya nafasi moja na nyingine.
   
 7. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Baada ya kutumia ubongo wako wooote hilo ndio uliloambua kwenye yoote niliyoandika. Shida ni kufikiri kwa kutumia viungo mbadala. Mimi ni mfanyabiashara na husafiri kwa mabasi sina na sijawahi kuwa dereva. Nilikuwa namwambia huyo **** mwenzio kuwa; mtu hulipwa kwa kazi anayofanya na mfumo wa mlipaji, sasa sijui hilo la dereva limetokea wapi.

  Kwa kuwa inaonesha ujinga ni sehemu ya mwili wako acha nikupe mfano mwingine hai: Office Assistant pale TANAPA analipwa 713,000 kwa mwezi, mshahara ambao Bank Teller wa WDB hapati. Sasa uliza tena kama mimi ni OA. Mkichwa mkubwa akil huna

  Nyinyi mavichwa maji mnaodhani vyeti ndio the most determinant factor ya mishahara yenu eleweni kwamba, Kampuni na mashirika hayakuanzishwa ili yakupe mshahara, yalianzishwa kwa madhumuni ya kuleta faida au impact fulani. How much you are going to earn depends on how productive is the post.
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,164
  Likes Received: 10,511
  Trophy Points: 280
  Mbona kama umewachana sana khaa...
   
 9. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  How old are you??Me nimeuliza vizuri sasa dharau na kandia ya nini??Unafanya biashara hivi hiyo biashara yako inaenda vizuri kweli kama maneno yenyewe ndio kama hayo??Me sipo upande wowote ila nimekuuliza wewe swali, kwa sababu kila mtu anafanya kazi kutokana na mazingira na sehemu anayopenda, hata wewe vile vile hiyo biashara unayosema unafanya kama kweli, sidhani kama ulianza tu bila kufikiria kama utapata faida au hasara, so ni sawa na muanzisha thread alivyouliza ni kiasi gani wanalipa, wewe unakimbilia na kuanza kukandia mara vyeti mara wanaangalia kazi, ofcoz hamna mtu asiyejuwa, kila mtu anajuwa akitafuta kazi nini anachoenda kufanya na sio kufikiria mshahara.....so punguzaa dharau mkuu na jaribu kuongea vizuri....
   
 10. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Yaani graduate wa kisasa ni balaaa..

  Mshahara haulipwi kwa elimu ni kutokana na kazi unayofanya..

  Ceo wengi dunian wana elimu ya degree moja tu labda ikiongezeka ni masters lakin wanalipwa hela nyingi kuliko phd holders au ma profesa..

  Mshahara wa dereva tanapa ni mkubwa kuliko wa bank officers yeyete nchini.. Kuna mashirika ya kigeni na asas kibao zinalipa mshahara mikubwa kutokana na funds walizonazo, kazi wanazofanya, na profit wanayoingiza as company turnover..

  Mimi ni graduate wa kibongo na nafanya kazi somewhere kwenye jina kubwa lakini nilishangaa secretary wa agricultural council of tanzania analipwa mshahara mara mbili yangu.. Na hapo mshahara naopata ni 7 digits.. Secretary analipwa usd 1500 as a basic salary per month bado ujaweka allowances na mengineyo yanayoleta gross package ni kama usd 2300.. Tena kasoma diploma magogoni hana hata hiyo degree unayojivunia.. Na watu kama hao wapo wengi tu mjini as wanafanya sehem zenye rate nzuri

  Na kweli kazi anayofanya huyo secretary ni challenging kuliko kazi ya benk officer...

  Dogo vyeti havipangi mishahara.. Position ndo inaamua mshahara na kila organisations ina rate yake hazifanan
   
 11. S

  SERVO SERVUM Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mh! Haya banah.
   
 12. m

  mnyakyusa JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ishi!!!!
   
 13. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,710
  Likes Received: 1,891
  Trophy Points: 280
  mi nimecheka mwenyewe automatic, jamaa lina matusi kama wimbo fulan wa chid benz.
   
 14. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Umeuliza swali la kipuuzi kuliko mahitaji ya upuuzi ya nchi nzima. Mimi sikusema awe dereva, I was just advising him to think outside the box. Unapouliza GRADUATE analipwa kiasi gani ni dalili unaishi kwa illusions.

  Kama mimi na wewe tukisoma mpaka darasa la saba, halafu tukaamua kuuza vitunguu, kesho akija mtu mwenye akili finyu kamaza huyu muanzisha mada na kuuliza "Graduate akiuza vitunguu anapata faida shilingi ngapi?" wapi katiba ya nchi inanizuia kumtukana?

  Mimi sijui kuuma maneno bwana, ukileta ujinga nakupa za kichwa ubongo ukae sawa.

  Mbona sijasikia **** yeyote akiuliza Graduate Rent or Coffin? Huu ndio ujinga unaowafanya Wakenya watamani kuja hapa. Mtu atalipa kodi ya nyumba kwa kiwango alichopanga mwenye nyumba. Mtu atapata mshahara kwa kiasi alichoona mwenye kumuajiri kuwa kinalingana na uzalishaji anaofanya.

  Kuhusu biashara zangu usiwe na shida na lugha nayotumia. NAUZA MAJENEZA, tena una bahati nimeleta majeneza ya vichwa. Wahi upate moja uzike hicho kichwa chako kabla hakijakuletea matatizo
   
 15. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Unanionea tu, mimi hata sijamtukana mtu. Nimesema tu kwa mujibu wa matendo na haiba zao. Wao ndio wametukana.

  Labda nikuulize mkuu: Kama Mr.A akichukua kiatu chake na kuweka mezani wakati tunakula, na mimi nikakichukua nikakitupa chini na kusema 'PUMBAV!', nani kati yetu ametukana? Yeye aliyefanya UPUMBAVU au mimi niliyesema alichokifanya?
   
 16. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Hawa magraduate wa sasa hivi kwa kweli vilaza sijapata ona
  Na hii ni kwa sababu degree zao za ujanja janja wanawake za kitandani wanaume za kununua
  Chuoni akili yao inawaza

  Kugoma
  Kushabikia chadema
  Wakipata boom sasa utawaona wanavyojazana pale Atm mlimani city ku draw 5,000
  Halafu sasa tabia yao moja ni kuwa waiwa pale chuoni na waki graduate wanaona kuwa wao ndio wasomi kuliko wote yaani wao ndio wao
   
 17. sirdelta

  sirdelta JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 286
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Wape wape hao vidonge vyao wakimeza wakitafuna shauri yao .... Kkudadadeki
   
 18. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Sio nimeuliza swali la kipuuzi, una ulizwa swali kutokana na unachoongea mwenyewe kutoka mdomoni mwako au hilo swali nililouliza nimelitoa wapi si umelisema mwenyewe??Nadhani ni better kutoa ushauri wa maana kwa muanzisha thread kuliko kuropoka kama unavyofanya coz naona unaandika maneno mengi ila haya make sense, me sio graduate wala sitafuti kazi, Sidhani kama nimeuliza unafanya biashara gani kwa sababu sihitaji kuijuwa ndio maana sijauliza nini unafanya....again narudia biashara unayofanya ulifikiria kiasi gani utapata ndio maana ulifanya na hukwenda straight kuifanya so kuna utofauti hapo na huyo mwanzisha thread?ina maana hiyo biashara mwanzo kabisa ulikuwa unajuwa utapata kiasi gani??mwanzo siku zote mgumu kwa kila mtu na sio kumlaumu kama amefanya makosa kuuliza hivyo......think!!
   
 19. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,164
  Likes Received: 10,511
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red... Naona kama unmataka kuharibu hali ya hewa sasa hivi..
   
 20. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mzazi unagonga lkulu
   
Loading...