majany
JF-Expert Member
- Sep 30, 2008
- 1,223
- 579
Mh!! Huu mtanange ni balaa!
hahahaa..mosha vp bana..hakuna jipya hapa..jamaa anataka tuamini anachokiona......!!!ikifika jioni atalala....na mleta sredi atakua kapata kile alichouliza!!!
Mh!! Huu mtanange ni balaa!
Haya yote umesema wewe, ndio maana toka mwanzoni natofautiana na wewe kwamba ina maana mtu akiuliza amount anategemea cheti chake na hajui kazi??je tunaweza kujuwa uwezo wa mwanzisha thread au huyo mtu anayeuliza amount??Nadhani ni kutofautiana na sio kila mtu anayetaka kufahamu something basi hajui kitu, wengi wanaupeo na wamefanya kazi, nowdays hamna mtu atakaye kuajiri kwa kutumia cheti chako
Still sitokubaliana na wewe kwa point yako ya mtu kuuliza mishahara......Ni vizuri kushindana kwa hoja nadhani na challenge...
Lets say mtu wa Masters ameomba msaada mshahara gani atalipwa na hapo hajasema ana experience ya mda gani je hapo still utasema labda na yeye anaangalia cheti chake??Ni bora kufikiria zaidi.....
Mkuu wangu spelling mistake nadhani hata wewe hapo juu kidogo uliuliza swali hali ku make sense, so ni vizuri kama ungemrekebisha hapo....simple then tuendelee na mada
Kuna chalii anaitwa MWANA MTOKA PABAYA anatukana balaa, ukute hata yeye ni Clerk sehemu flani au Officer wa kuishikwa mkono. Ndo hua tabia zao alipo si kutokana na elimu bali elimu na kujamiiana(sicialize) kwa wazazi wake.
Hapo ndio mnashindwa kukubaliana na jamaa yenu. Sidhani kama amekosea sana ila ni namna yake mbovu ya kueleza lkn kwa haya yako ni kweli unapotoka na hii sio akili njema. Mshahara wa Masters ndio kitu gani?
Swali haliwezi kuwa mshahara wa manger, teller, bank officer au mfagiaji?
Kama unataka kujua mshahara wa masters, bachellor au PhD ungeuliza siku ulipomaliza chuo manake huko ndio zipo zote. Ni suala la kumuuliza professor aliyekufundisha mshahara wako shingapi
Mnashindwa kuelewana sehemu ndogo sana
Haya yote umesema wewe, ndio maana toka mwanzoni natofautiana na wewe kwamba ina maana mtu akiuliza amount anategemea cheti chake na hajui kazi??je tunaweza kujuwa uwezo wa mwanzisha thread au huyo mtu anayeuliza amount??Nadhani ni kutofautiana na sio kila mtu anayetaka kufahamu something basi hajui kitu, wengi wanaupeo na wamefanya kazi, nowdays hamna mtu atakaye kuajiri kwa kutumia cheti chako
Still sitokubaliana na wewe kwa point yako ya mtu kuuliza mishahara......Ni vizuri kushindana kwa hoja nadhani na challenge...
Lets say mtu wa Masters ameomba msaada mshahara gani atalipwa na hapo hajasema ana experience ya mda gani je hapo still utasema labda na yeye anaangalia cheti chake??Ni bora kufikiria zaidi.....
nowdays hamna mtu atakaye kuajiri kwa kutumia cheti chako
Mkuu wangu mimi sipo hapa kutetea mshahara wa mtu fulani wala elimu yake wala kiasi anachopata, huko wala sipo na ukifatilia toka mwanzo wa thread utagundua nipo upande gani hasaa na kitu gani ambacho sikubaliani nacho kutoka kwa bwana mkubwa, na naona hapo nilipoandikaa kwenye Masterz umechukua kipande kimoja najuwa kama ungechukua mstari mzima ukaunganisha then usingeweza kusema napotoka maana hapo nimeeleza huyo mtu wa Masters awe na nini, so sitokuwa na hoja ya kipingamizi hapo......
Spelling mistake ni HUOSE badala ya HOUSE. Carrier badala ya Career sio spelling mistake, ni ukihiyo.
wacha weeh!!!kazi nzuri mtambuzi wa vihiyo....
Hatimaye hoja zimekwisha, sasa unataka hata kuukejeli ukweli. Haya wewe maoni yako ni yepi katika hilo la spelling mistake?
Hivi mishahara inalipwa kwa aina ya makaratasi ulioandikiwa baada ya kufanya mtihani wa kukariri au kwa aina ya kazi utakayopewa?
HIvi mnajifunza nini shuleni nyie kizazi cha nyoka? Well then, acha nikuoneshe ujinga wa kuamini unachoamini badala ya kutumia elimu kufikiri.
Bank ya Mkombozi (na benki nyingine nyingi tu) ili uwe Teller, inalazimu uwe na Degree moja. Mshahara ni 540,000 - 800,000
FHI inamlipa dereva Tshs 800,000 - 1m kutegemeana na kiwango cha elimu na uzoefu.
Graduatism inawafanya mnakuwa maskini mabwege nyinyi
Mndengereko mieeeeeee! Nitafilisika kila kitu lakini siyo MANENO.
Invester vp bwana...asubuhi yote hii uko JF??Au ndio hauko full engaged??Kejeli ulizianza mapema mkuu...ingekua una nia ya dhati ili ueleweke usingetoa maneno kama uliyokua unayatoa...Sina maoni mkuu...naangalia wakosoaji wa 'kiswanglish'........
Mwana Mtoka Pabaya huyu jamaa anaandika kama vile ameshafika khaaah utadhani ugomvi haya mfanyabiashara mkubwaa ungemjibu kwa busara tuu yangetosha au mpe hata mtaji naye awe mfanyabiashara kama wewe. watanzania bhana kupata kidogo ishakuwa tabu
Kweli sijaeleweka. Sasa kwa nini usinikejeli mimi badala yake unaukejeli ukweli?
Kama unaangalia ukosoaji basi angalia tu na sio kuniongezea kazi ya kurekebisha. Kwanza mimi sijakosoa, labda kama hujui maana ya kukosoa, idiot!
KUKOSOA ni kama ningeishia kusema JIBU SIO A. Lkn mimi nilisema JIBU SIO A bali NI B na nikatoa mifano. Kwa hiyo mimi sikukosoa bali nilirekebisha kwa hiyo nina hakika Mr. Madesa Mkariri Majibu MSc., PhD, Bcom-LLB(Hons.) hatorudia kusema Banking Carrier badala ya Banking Career.
Mfano mwingine:
Invester sio spelling mistake. Ingekuwa spelling mistake kama kungekuwa na alphabetical mix-up within a word na sio introduction ya alphabet nyingine inayo-sound alike kwenye matamshi. 'Invetsor' yaweza kuwa spelling mistake kwenye Investor na sio Invester.
Kwa hiyo ndugu yangu Mr.Mpendaubishi Kichwanihamnakitu, neno sahihi pale ni INVESTOR na sio INVESTER. Nakurekebisha, sikukosoi. Karibu Ikwiriri tule maboga na samaki kitoga
Masters ni occupation gani?
Kaazi kweli kweli. Ndio maana nikakuuliza hivi jana, Graduate akiuza ndizi sokoni atapata faida kiasi gani, ukalala mbele. Hivi hapa ni nini kigumu kuelewa?
Acha kujichanganya wewe, kama huajiriwi kwa cheti mbona mshahara mnauulizia kwa cheti?
hahahaa...ukiwa povorked una'respond vizuri sana mkuu....
[h=2]Mshahara wa 'Tutorial Assistant' University of Bagamoyo ni sh ngapi?[/h]Saluti wadau wa JF!
Naomba msaada mimi na jamaa yangu tumepata nafasi ya ututorial assistant na Laboratory technician ila kwa sasa tuna kazi sehemu hivyo tunataka kujua maslahi yakoje ili tuamue kwenda au la maana tupo mbali na jiji tupo mikoani. Kama kuna mtu mwenye details atusaidie jamani tuwe na maamuzi sahihi.
Nimependa jinsi ulivyo na ujasiri wa kuelimisha na kusimamia hoja.Hii ndio elimu yenyewe na wala sio upofu wa kutafuta vyeti bila kuwa na kitu kichwani.