Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,282
- 4,237
Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.
Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa TZ, jamii ya wasukuma huwa wanajua sana kusimamia mambo na yakaenda, shida kubwa tu ya wasukuma ni hawana soft skills.
Pamoja na jitihada zake, only 45% ya watumishi hewa na wenye vyeti feki ndio waliguswa, hii 55% bado ipo na kuna chances imeongezeka.
Tuna wasomi na graduates wengi mtaani. hatuna shida ya wasomi kwa sasa, hawa watu WAONDOLEWE . Kama mtu anaweza kufoji cheti, hii ni hatari na hasa kwenye taasisi nyeti.
Phase namba 2 a comprehensive audit ya kusafisha hawa watu ifanywe na this time they have to pay the govt for inconvenience .
Ruto, ameiga alichofanya JPM, he conducted a simple audit and found 2100 wana vyeti fake kwenye government offices.
Nashauri second comprehensive audit for public Servants . Tuanze na mashirika kama TRA, wizara zote, NIMR, EWURA.TMDA, NHIF, NSSF, MSD, GPSA, TTCL, TANROAD , MOI, JKCI, MNH.
Taarifa zisizo rasmi ni kuwa hawa watu wapo kwenye taasisi za Umma na baadhi yao walirudi baada ya kifo cha late JPM.
Currently kwa taarifa ambazo pia sio rasmi, hawa watu wameshaongezeka lakini na mishahara hewa nayo inatembea kama kawaida.
Hii ni whistle blower, Utumishi fanyeni kazi yenu, sio kila kitu Rais aseme ndio mfanye