Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Nasikia alimtanguliza sedekia kuzimu hadi leo yupo kule anatumika kuimba!!!WANAOJUA WATUHAKIKISHIE!MI NILISHA POTEZA IMANI NA HAWA WATU!!!
Maskini wote wanaamini kifo huja kwa mpango wa kishetani! Israel sjui Jordan watu wanaendaga na kurudi, marehemu Zedekiah kupatwa na mauti huko masikini tukajudge ivo
 
Nina historia kubwa na hawa watu wanaosema roho mtakatifu ddjkasema!Roho mtakatifu kasema agano hili la kichawi linavunjwa kwa sh.200000/=,kumkomboa mtoto kutoka kwenye mizimu sadaka ya 20,000/= roho kasema!!!NINA HISTORIA NA HAWA WATU NA MAHUBIRI YA SADAKA ZAO ZA UKOMBOZI NA UTAJIRI WA KUBARIKIWA SIJAKURUPUKA MIMI SIO MJINGA WA IMANI HIZI!!Niliwahi shiriki semina zake!!!!Acheni ujinga wa kuamini kila kitu!!
Mch & mwl mwakasege ni mwalimu, baba wa kiroho sio mtume wala nabii wa kuleta utajiri na miujiza kama umewahi hudhuria semina zake
 
Nasikia alimtanguliza sedekia kuzimu hadi leo yupo kule anatumika kuimba!!!WANAOJUA WATUHAKIKISHIE!MI NILISHA POTEZA IMANI NA HAWA WATU!!!
Utakuwa umepotea kweli,Kwa kuwa umeweka Imani yako Kwa watu bad ala ya kuweka Imani yako Kwa Mungu
 
Nadhani anaongelea fundisho la Mwl Mwakasege kwamba mzaliwa wa kwanza ndiye lango la baraka kwenye familia, hivyo ili mbarikiwe ni muhimu kumwombea huyo amjue Mungu. Kama mzaliwa wa kwanza atakuwa na mwelekeo mbovu basi atafunga baraka za watoto wengine wote.

Tunaweza kujadili hilo kwa mujibu wa maandiko wakuu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kama kasema hivyo basi ni Muongo mno kwa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli jamaa alojibiwa live Na Mungu au huwa wanajibiwa na Mungu kwa mfumo gani..?
Mkuu mtapata dhambi bure alisimulia vizuri jinsi sedekia alivyokuwa akiumwa na hatua alizochukua ikiwemo kumuuliza Mungu kwa maombi kwanini sedekia haamki je wanaongea nini (sedekia na Mungu sedekia alikuwa ulaya Israel nadhani maana mtumishi alisema alikuwa anaenda bahari flan nmesahau jina ipo kwenye bible kusali......

Akasema kuna wakati alibadilisha maombi mazuri akawa anaweka chini nguo za sedekia usiku anasali kwa kuomba maombi ya Yeriko.......but mwisho Mungu alimjibu Sedekia harudi then alikufa.....

Niliwahi jaribu hiyo style ya kuomba sema mimi nilikuwa nimeandika maombi yangu kwenye karatasi then nadakika kwa kupiga magoti mbele zake siku 3 tu nilifunuliwa vile vitu nilivyokuwa navionba tena kwa upana zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia alimtanguliza sedekia kuzimu hadi leo yupo kule anatumika kuimba!!!WANAOJUA WATUHAKIKISHIE!MI NILISHA POTEZA IMANI NA HAWA WATU!!!
Huna akili kabisa tena limbuken muamini ushirikina mnafki usie na suduri ya moyo
 
Nina historia kubwa na hawa watu wanaosema roho mtakatifu ddjkasema!Roho mtakatifu kasema agano hili la kichawi linavunjwa kwa sh.200000/=,kumkomboa mtoto kutoka kwenye mizimu sadaka ya 20,000/= roho kasema!!!NINA HISTORIA NA HAWA WATU NA MAHUBIRI YA SADAKA ZAO ZA UKOMBOZI NA UTAJIRI WA KUBARIKIWA SIJAKURUPUKA MIMI SIO MJINGA WA IMANI HIZI!!Niliwahi shiriki semina zake!!!!Acheni ujinga wa kuamini kila kitu!!
Hivi unamjua mwalimu Mwakasege wewe?
Au unaongea kwa kujifurahisha
Lini uliona anazungumzia na nlkutaja viwango vya sadaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina historia kubwa na hawa watu wanaosema roho mtakatifu ddjkasema!Roho mtakatifu kasema agano hili la kichawi linavunjwa kwa sh.200000/=,kumkomboa mtoto kutoka kwenye mizimu sadaka ya 20,000/= roho kasema!!!NINA HISTORIA NA HAWA WATU NA MAHUBIRI YA SADAKA ZAO ZA UKOMBOZI NA UTAJIRI WA KUBARIKIWA SIJAKURUPUKA MIMI SIO MJINGA WA IMANI HIZI!!Niliwahi shiriki semina zake!!!!Acheni ujinga wa kuamini kila kitu!!
Wanaomtukuza huyu mtu nawadharau sana.
 
Back
Top Bottom