Heheheheheeee BADILI TABIA umfanyie tathmin ya nini tena?
oyaaaaaaa acha kumdhalilisha mume wangu kha! ana vichwa vya cobra viwili, nilimuona huyo nyoka pangoni mwake nilipomtembelea, acha kabisa.Yaani ana ya kike na ya kiume?
oyaaaaaaa acha kumdhalilisha mume wangu kha! ana vichwa vya cobra viwili, nilimuona huyo nyoka pangoni mwake nilipomtembelea, acha kabisa.
nimeipenda hii zaidi mana kila saa kulalamika huyu young masterMwendeshaji akiwa cacico na mgeni Young_Master Mh hawa sijajua kama hawana visasi
unashangaa nini??? kwani hujawahi kuona cobra mwenye vichwa hata vitatu, google utaona!Cha!!!!!!!
nakupenda mno pia mdogo wangu, uwe unatujulia hali kha!mi nipo sana my sis,miss u more,siwezi kupotea si unajua nakupenda sana
unashangaa nini na wewe?? kipindi kile nimepauka mbona hamkusema, leo nimependezeshwa na babu, na wake wenzangu Yummy na BADILI TABIA wamenipa upendo nimenawiri ndio mnajifanya kuongea, kha hebu niacheni kwa raha zangu lol!Hahahaaaa ndio nashangaaa
hivi kesho siku ya kazi?
Mbona mie nimekaa kiwikiendi wikiendi????
Heheheeee unaona kwenye BOLD?unashangaa nini na wewe?? kipindi kile nimepauka mbona hamkusema, leo nimependezeshwa na babu, na wake wenzangu Yummy na BADILI TABIA wamenipa upendo nimenawiri ndio mnajifanya kuongea, kha hebu niacheni kwa raha zangu lol!