Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Samahani mkuu, ngoja nikazidelete.....

Oups!! Ahsante sana Roulette naahidi kuwa a good boy. We ni mod mwema sana, angekuwa yule mwingine (siyo, Paw tafazali)... ana roho mbaya kama kiatu cha Mugabe, ungekuta nshalambwa ban muda huu ningekuwa natesa na ID nyingine kati ya zile tisa nazomiliki.

Eee Mungu, msamehe Roulette zambi zake zote alizotenda na atakazotenda kesho uzihamishie kwa yule mod aliyenilamba ban.

Wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA semeni AMINA.
amina our husband ooooo!!!
 
Hahahaha!!! ili mradi tu usiende mzulumu shem wangu. Msamaha huu wa zambi hauhusiani na zinaa.... Huyu mod mwenye roho mbaya humjui? Mtakapokaa kwenye kikao chenu cha baraza la mamods, angalia mamod wote usoni, utakayemwona ana macho yenye aibu kama pasi ya mkaa ndio huyohuyo! Nlimwendea Botswana kwa anko wake klorokwini ili amloge macho yahamie kisogoni lakini bahati mbaya kumbe alikuwa ameenda Ukraine.

Ukimwona mwambie siku nyingine akinilamba ban, atatumia mdomo kuachia ushuzzi wallah!
khaaaaaaaaaaaaaaa hubby msamehe huyo mod kha! my ribs lol! amekoma wallah hatorudia.
 
Mi na Bishanga tutakiendesha bila matata ngoje aje awape jibu tutakiendesha tukiwa nchi gani

Nianze kwa kumshukuru ndugu Erick kwa kunipa fursa ya kumkaimu bi Zinduna ambaye anasumbuliwa na ujauzito wa bishanga abashaija.
Pia nichukue fursa hii kumshukuru bi The secretary kwa kuitikia wito wa kuwa mgeni kwenye kipindi chetu adhimu.
Ndugu wasikilizaji radio yenu inaandaa Lear jet kwa ajili ya kumpeleka The Secretary huko Nassau,The Bahamas kwa mahojiano. Msishangae naye akirudi na katumbo maana ukimhoji au kuhojiwa na bishanga unapata automatic mhemuko na bishanga hajui kondome zinauzwa wapi.
 
Last edited by a moderator:
amelazwa pembeni ya yule waziri wa israiel nikumbushe jina, wanapumulia mashine wote! nimekolea kwa babu tatizo ndio hilo, ila sa babu hanitungii threads, na mi nimezoea kubembelezwa kha!
Hahahaaaaaa mi simo aisee kumbe ndio maana Excellent alisema huu uzi unawakumbusha machungu lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom