evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,970
- 9,899
2008+Mwaka gani huo?
2008+Mwaka gani huo?
Huyo itakua kaja mwanza juzi kutokea ukara
Utakuwa umemfahamu hivi karibuni huyo jamaa alikuwa anaendesha club pale new mwanza hotel miaka ya 2008,2009,2009Joe hajawahi kua n club mwanza hotel
Usijali tuliweka comprehensive insurancePole kwa wamiliki


Kusema ukwli mm nna kimeo cha bill hapoKuna bia zangu zilibaki hapo aiseeeee daaah
Mkuu inabidi ukalipe aisee haina namnaKusema ukwli mm nna kimeo cha bill hapo
Ova
Huyo mmiliki wa hiyo place atakuwa amechoma hiyo place ili alipwe na bima .
Namjua Sana huyo mjuba since kitambo na rasta zake akiwa anaendesha club pale mwanza hotel.
Ni muhuni aliyepitiliza
Mwanza huijui 2008 kulikua na stone club ikimilikiwa na jack masamaki,ikafa 2011 ikafunguliwa club ingine ikimilikiwa na watu watatu2008+
Mwanza huijui 2008 kulikua na stone club ikimilikiwa na jack masamaki,ikafa 2011 ikafunguliwa club ingine ikimilikiwa na watu watatu
hahahahahaNi yeyeeee!
View attachment 1986429
Pesa ilikata kitambo mpka club ikafa,jamaa hamjui joe anatuletea story za joe alikua na rastaJack masamaki ashaenda wapi?

Nipo sana ndugu… We wapi?Uko wapi Umepotea sana...Tumekumisije Smart girl
Siku hizi yupo wapi?jackPesa ilikata kitambo mpka club ikafa,jamaa hamjui joe anatuletea story za joe alikua na rasta![]()
Comprehensive insurance ni kwa motor, hapo awe ameweka Fire InsuranceUsijali tuliweka comprehensive insurance![]()
Nimemuona 2011 mara ya mwisho,kwasasa sijui yuko wapiSiku hizi yupo wapi?jack
AhaaaNimemuona 2011 mara ya mwisho,kwasasa sijui yuko wapi