Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,462
Dk sifuri YaniFire si ipo hapo kituo cha polisi kikuu? Yaani ni dakika moja tu kutoka hapo mpaka rock city mall
Dk sifuri YaniFire si ipo hapo kituo cha polisi kikuu? Yaani ni dakika moja tu kutoka hapo mpaka rock city mall
Wanataka hongo kwanza ili watoe gariHivi Tz tunahuduma ya fire kweli!? Moto unawaka karibu saa nzima tena katikati ya mji wa Mwanza (Rock City Mall), hakuna fire Wala Nini, na kila budget ikipitishwa naskia kunabudget ya jeshi la Zima motoView attachment 1985927
Kuna budget ya kununua ma v8 ya viongozi tuHivi Tz tunahuduma ya fire kweli!? Moto unawaka karibu saa nzima tena katikati ya mji wa Mwanza (Rock City Mall), hakuna fire Wala Nini, na kila budget ikipitishwa naskia kunabudget ya jeshi la Zima motoView attachment 1985927
Kwani the cask inahusiana nini na kuondolewa wanachinga?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Daaah kiwanja kitamu hiki![]()
Binafsi nimesikitika kiwanja changu pendwa hiki. Bia ya hapa hua tamu
Ngoja nifikirie wa kumpa lawama nitarudi.
Lawama watabebeshwa wale machinga
Huyo mmiliki wa hiyo place atakuwa amechoma hiyo place ili alipwe na bima .
Namjua Sana huyo mjuba since kitambo na rasta zake akiwa anaendesha club pale mwanza hotel.
Ni muhuni aliyepitiliza
Joe hajawahi kua n club mwanza hotelHuyo mmiliki wa hiyo place atakuwa amechoma hiyo place ili alipwe na bima .
Namjua Sana huyo mjuba since kitambo na rasta zake akiwa anaendesha club pale mwanza hotel.
Ni muhuni aliyepitiliza
Usiwe na hofu, jungu kuu halikosi ukoko.Daaah kiwanja kitamu hiki![]()
Serikali yangu haikuleta tetemekoooooooo, nasema uongo ndg zangu.Kwani fire ndio wakiowasha huo Moto?
Ni ya mchina?mchina ni mjanja sana, huwezi kumhujumu
Kafanyaje mkuumchina ni mjanja sana, huwezi kumhujumu
Uko sahihi na huo Moto haukuwashwa na serikaliSerikali yangu haikuleta tetemekoooooooo, nasema uongo ndg zangu.
Kutoka makao makuu ya zima moto hadi rock city mall ni dk 3 tu kwa ule mwendo wao lkn kitu kinaungua nyanganyanga, hii nchi ngumu sanaHakuna zimamoto kama ilivyo kawaida yetu.
Koma kwani serikali ya CCM ndio iliyowasha huo Moto?
Nimesema ndo waliowasha moto????Koma kwani serikali ya CCM ndio iliyowasha huo Moto?
Makanyaga wanampa stress sanaVilla inarudi sokon Cask inaungua, biashara hizi zinachangamoto. Pole kwake bwana Makanyaga
Umeandika upuuzi. Nawe choma nyumba ili ulipwe uone kama ni rahisiHuyo mmiliki wa hiyo place atakuwa amechoma hiyo place ili alipwe na bima .
Namjua Sana huyo mjuba since kitambo na rasta zake akiwa anaendesha club pale mwanza hotel.
Ni muhuni aliyepitiliza
Humjui Joe Makanyaga kaa kimyaHuyo mmiliki wa hiyo place atakuwa amechoma hiyo place ili alipwe na bima .
Namjua Sana huyo mjuba since kitambo na rasta zake akiwa anaendesha club pale mwanza hotel.
Ni muhuni aliyepitiliza
Wewe mgeni Mwanza. Tulia wenyeji wakujuze.Joe hajawahi kua n club mwanza hotel