Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,700
Wewe Kila mtu na Kila jambo unalijua🙌🙌🙌Fighter sana,kichwani yuko vizuri
Nlipenda hustle zake alupokuwa China
Ova
Wewe Kila mtu na Kila jambo unalijua🙌🙌🙌Fighter sana,kichwani yuko vizuri
Nlipenda hustle zake alupokuwa China
Ova
Kwani Gachuma sio mmiliki Tena wa Mwanza hotel?Washamba hao mi namjua jamaa kitambo na alikuwa anaendesha club pale mwanza new hotel. wakati ikimilikiwa na gachuma.
Alikuwa na rasta huyo jamaa halafu alikuwa mtata Sana.
Wewe ndio humjui joe unakija na uwongo kua alimiliki club mwanza hotel,mara alikua na rasta...tunamjua joe toka kwao sengerema yeye na kaka yake,wewe unamjua joe rasta
Ningeweza upload picha hapa akiwa na rasi...tokea akiwa saitama japan, ila inaweza reveal identity yangu kwa aliye familiar na nyakati hizo. So kaa humohumo hakuwa na rasta, hajawahi kuwa na club ila kaka yake tu (Jimmy) club ya rock n roll na nini tena? Kiwanda cha plastiki tu au sio?
Joe hapana..ila kaka yake ndio mwenye mchinaNdio ameoa mchina pia?
Joe hapana..ila kaka yake ndio mwenye mchina
Wale wapishi wa Villa walihamia La kairo kwa mda ,Ni mda Sasa kurudi Villa park.Kuna lile pishi la samaki wanaita brenda fasi kama sijakosea..nilikuwa nalipenda sana
Ulipe tu bossKusema ukwli mm nna kimeo cha bill hapo
Ova
DhubutuHivi Tz tunahuduma ya fire kweli!? Moto unawaka karibu saa nzima tena katikati ya mji wa Mwanza (Rock City Mall), hakuna fire Wala Nini, na kila budget ikipitishwa naskia kunabudget ya jeshi la Zima moto
View attachment 1985927
Next time wakifungua uende ukawape poleIshatoka hyoo
😂😂😂
Ova
Yah hilo muhimuNext time wakifungua uende ukawape pole
Kumbe na wewe ulikuwa unakagonga!roho imeuma sana, nilikuwa na kahuduma flani hapo kanaitwa ka marry 😒😊😊😊.. hiki kiwanja ndio kilifanya niwe mwanza mwanza kila weekend 😎😎
Sema wadau zake muhimu lazima atawadaiNext time wakifungua uende ukawape pole
Wapita njia anawaamini vipi? Au ulikuwa una kidemu hapo mkuu kinakuamini?Sema wadau zake muhimu lazima atawadai
Ila ss wapita njia ndy hvyo 😂😂😂
Kufa kufaana hyo
Ila Pole muhimu
Ova
Rasta alinyolewa alipopataga lile sekeseke la manati ya kizungu,kupelekwa lupango wakamnyoaUnatania ama uko seriasi? Hicho kipara kilikuwa na rasta
Sure mkuuRasta alinyolewa alipopataga lile sekeseke la manati ya kizungu,kupelekwa lupango wakamnyoa
Ova
Ni kweli, alienda kunyolewa Butimba baada ya kuzinguana na wale jamaa wa parking...Washamba hao mi namjua jamaa kitambo na alikuwa anaendesha club pale mwanza new hotel. wakati ikimilikiwa na gachuma.
Alikuwa na rasta huyo jamaa halafu alikuwa mtata Sana.
Alikuwa nazo kweli...Pesa ilikata kitambo mpka club ikafa,jamaa hamjui joe anatuletea story za joe alikua na rasta![]()