Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 3,306
- 6,500
Haya bana...ila unaforce kujifanya unajua...kiwanda cha nyakato kisha sasa nyamhongolo ni matunda ya hustle za awali kabisa...wewe unaona matunda ila hujui nyuma yake kuna msoto wa trials na errors kibao...sasa ichukue hiyo ya club (feat jamaa flani jina kapuni) pia kuna hustle ya duka hapo salma cone na umachinga mwingine kibaoWewe ndio mgeni wa mji,joe alianza n kiwanda cha vitu vya plastic..kaka yke alifungua bar hapo jirani na bonasera..
