tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,754
Tunamjua toka sengerema na lafudhi yake ya kisukuma,wakti huo huyo jamaa anatokwa povu akiwa nyakaliloWatakuwa wamemjua sasa hivi... baada ya hapo ndio akaanza kunyoa...
Tunamjua toka sengerema na lafudhi yake ya kisukuma,wakti huo huyo jamaa anatokwa povu akiwa nyakaliloWatakuwa wamemjua sasa hivi... baada ya hapo ndio akaanza kunyoa...
Sk cottonInawezekana wamefahamu muda si mrefu, jamaa alikuwa ni rasta kweli, ni kweli alikuwa karibu pale na Salma Cone, jamaa anaongea kichina... kipindi imejengwa PPF Plaza alikuwa na ofisi pale floor ya pili... alipotoka pale kama nakumbuka kina Kigwangala ndio wakachukua pale walikuwa na ofisi yao pale jina nimesahau...
Wale wauza nyama wote plus wenye marukangaKama Picnic Arusha....hahaha
Tunamjua toka sengerema na lafudhi yake ya kisukuma,wakti huo huyo jamaa anatokwa povu akiwa nyakalilo
Sure mkuu
Sk kingwa naye ndani humoSk cotton
Jimmy alikua n bar hapo jengo la katarama na mkewe mchina,kama sikosei yeye ndio alikua na rasta
Tupe update sasa ya motoHii thread ilipanga kutoa taarifa na kudiscuss uhalisia wa Fire.. ila kwa uchawa wa Tanzania wanaleta ujuaji sana wa mmiliki wa bar.
Bar kama Cask kuungua na kurudi kwenye system ni fasta tu. Hela ameitengeneza wadau amepata.
Ninachokijua bar imeungua. Kwa zisemavyo taarifa mimi sio mkazi wala mwenyeji wa Mwanza. Ila nimewahi fika hapo Cask mara mbili tatu na nina week mbili nimetoka hapo. Kwa biashara yake. Hiyo ni itirafu tu na atarudi tu mitamboni. Aweke weke vimbao tu bar inarudi. Sikuhizi hutumii nguvu nyingi hizi bar.Tupe update sasa ya moto
Joe ndio alikuwa nazo...Jimmy alikua n bar hapo jengo la katarama na mkewe mchina,kama sikosei yeye ndio alikua na rasta
Ha hahahahah...Tupe update sasa ya moto
Nani amegundua?Imegundulika ni hujuma zilifanyika,yaonekana jamaa kweli alichoma club yake