Mwanza Safi, hakuna Machinga yeyote mtaani

siku zote najua we ni mkaka! sasa mbona hukusema siku nyingi ili tuonane mitaa ya National ????
Kwani Nyakato National kuna sehemu gani ya kukaa? labda pale barabarani Star Light hahahahahahahahh au Chanya, Iloganzala kwa mzee Kafiti hahahahahahahahahh au tukae pale Bwalo la Polisi. Ila mie naishi Buswelu
 
Kwani Nyakato National kuna sehemu gani ya kukaa? labda pale barabarani Star Light hahahahahahahahh au Chanya, Iloganzala kwa mzee Kafiti hahahahahahahahahh au tukae pale Bwalo la Polisi. Ila mie naishi Buswelu
Yote sawa! we nipm ili tujuzane wapi tukae na kupanga yanayotuhusu kama Me na Ke!
 
hao watarudishwa 2020 wakati wa kuwaomba kura
asante sana mleta mada
 
Lakini madhara yatakayotokea kutokana na kuwahamisha hao chinga ni makubwa mno ...hv unadhan wote waliokuwa na biashara ni raia wema?....si ulisikia pale mitaa ya Bigwish kulitokea nini...ikiwa kuna ukali wa maisha na rate ya crime kwenye jamii huongezeka....tuwe macho....
 
Hilo ndo litakalotokea; itabidi tujipange kukabiriana nao..
 
Haki ukitaka ifanye kazi ziba masikio na fumes macho
 
kwa hiyo unamaanisha kuwa ni kweupe kwa sababu HAKUNA HELA au wamekatazwa? naomba kueleweshwa plz
 
Hongereni Mwanza kwa kuondoa wachafuzi wa nazingira....Fukuza kabisa machinga wote
 
Rais Magufuli aagiza kusitishwa zoezi la kuwaondoa Machinga katika Jiji la Mwanza nakusitishwa zoezi la uondoaji wachimbaji wadogo Shinyanga



Signature
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…