Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya

Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa mamlaka yake ya uteuzi , huyu aliudanganya umma kwamba ametumwa na Rais wa Tanzania kuzuia kongamano la Katiba mpya , wakati si kweli , Rais wa nchi hawezi kufanya kazi na mtu mdogo kama RPC
Wewe Godbless Lema mbona ni mpuuzi hivi! Watu tunaendelea na maisha yetu kama kawaida unaleta taharuki za kijinga hivi!
Hao ma CHADEMA kwenye hiyo picha akiwemo huyo Dr. Azaveri Lwaitama ukiwaangalia vizuri ni watu wenye frustration za maisha tu! Katiba ni kisingizio tu!

RPC Mwanza alifanya kazi zake kwa weledi, wewe tunajua siku zote unachuki na polisi kutokana na "kazi" zako za nyuma!
 
D6895D01-4F97-4F52-8C2D-C195123BEE9F.jpeg
 
Wewe Godbless Lema mbona ni mpuuzi hivi! Watu tunaendelea na maisha yetu kama kawaida unaleta taharuki za kijinga hivi!
Hao ma CHADEMA kwenye hiyo picha akiwemo huyo Dr. Azaveri Lwaitama ukiwaangalia vizuri ni watu wenye frustration za maisha tu! Katiba ni kisingizio tu!
RPC Mwanza alifanya kazi zake kwa weledi, wewe tunajua siku zote unachuki na polisi kutokana na "kazi" zako za nyuma!
Sihangaiki na watu duni
 
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa mamlaka yake ya uteuzi , huyu aliudanganya umma kwamba ametumwa na Rais wa Tanzania kuzuia kongamano la Katiba mpya , wakati si kweli , Rais wa nchi hawezi kufanya kazi na mtu mdogo kama RPC...
Wapigania Uhuru Phase II
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Acheni usanii RPC aliwapa barua siku nyingi tu kuwa amekataza mkutano mkawa mnaipost kwenye mitandao.
Mamlaka hiyo anaitoa wapi,je uhalali wa hatua aliyoichukua ni ipi? Kwanini asichukue hatua sawa kwa vyama vyote?
 
Kongamano niliona jana Dar es salaam, sijui la amani na kuombea viongozi lililoandaliwa na kuhutubiwa na Mkuu wa mkoa, nalo naona liliomba na kupata kibali cha polisi......... kazi kwelikweli.
Kwanza hayo makongamano uchwara yanaingiza pesa kiasi gani kama si kutaka kuleta Shari na kueneza corona? Piga chini ujinga kama huo
 
Kongamano niliona jana Dar es salaam, sijui la amani na kuombea viongozi lililoandaliwa na kuhutubiwa na Mkuu wa mkoa, nalo naona liliomba na kupata kibali cha polisi......... kazi kwelikweli.
Bila shaka, kwani hii nchi wenye mamlaka mko wangapi? Acheni upumbavu mtaishia kulia Lia na kulalamika kwa upuuzi wenu kila siku.

Eti watawala waweke kongamano liwe na Kibaki au hapana na wewe uige utakuwa huna akili,hakuna nchi ambayo hakuna utaratibu
 
Huwa nashangaa sana watu wanapolaumu watendaji wa serikali as if mambo wanayofanya wanajiamulia wenyewe kwa matakwa yao sioni logic ya kumlaumu mtu kama huyo

Huyu mama hatufai kabisa wanawake hawawezi na yeye hafai kuwa rais kabisa

Huyu mama moyo wa kufanya haya
yanayotokea hana lakini kuna watu wana amua kwa niaba yake yeye yupo kama kivuli tu pale sasa ndiyo nini

Moja ya Sifa ya mwanamke ni kutojiamini
Wanawake huwa hawajiamini kabisa hata kama anaweza sana bado hatotenda kwa ufasaha akiamini anakosea mpaka ahakikishiwe na mtu mwingine au mwanaume
Mtu aina hiyo hawafai kuwa kwenye maamuzi ya mwisho

Unapomlaumu RPC au DC au mtu mwingine aliyefanya jambo la hovyo unampa nguvu rais ya kuagiza mambo mengine makubwa zaidi na ya ajabu kuliko hayo na anakuwa huru kwa sababu lawama haziendi kwake japo yeye ndiyo muhusika
Tukimpa lawama zote yeye huwenda akajirekebisha kwa kuwa atakuwa na msukumo wa kuona analikoroga na hawezi kuongoza wananchi hawamkubali atabadili watu anaowasikiliza

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu, jaribu kuelewa kwamba lile kongamano sijui la amani liliandaliwa na nani, kabla ya kutoa povu....kazi iendelee.

Back
Top Bottom