Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya

Kweli kabisa, hski haipaswi kuombwa,, Mpaka hapo nimekuelewa mkuu,
Labda ngoja nikusaidie kwa manufaa ya wengi.Haki huwa haiombwi bali huchukuliwa kwa nguvu kwa sababu anaepaswa kutoa haki huwa hayupo tayari kutoa haki hiyo.

Anaepaswa kutoa haki huwa hayupo tayari kutoa haki kwa sababu kitendo hicho huwa kinamuumiza yeye.Mfano Samia akiruhusu mikutano ya kisiasa ambayo ni haki ya kikatiba ya vyama vya kisiasa maana yake anajenga upinzani kitendo ambacho kitakiondoa chama chake madarakani.

Kwa kuwa hayupo tayari kuona chama chake cha kisiasa ambacho ndicho kimwemwajiri na kinampa ugali yeye pamoja na familia yake kinatoka madarakani basi anakuwa hayupo tayari kutoa haki hiyo kwa vyama vya kisiasa.

Kwa hiyo katika mazingira kama haya ni lazima utumie nguvu kudai haki yako kwa sababu Samia hayupo tayari kutoa haki hiyo kwa sababu ataumia yeye.Sasa katika mazingira kama haya ukimwendea Mama kwa upole kama wewe ulivyokuwa unadai huwezi kufanikiwa.Umeelewa sasa?
 
Nimekupata kiongozi, nashukuru sana kwa ufafanuzi ulioshiba.
 
Kazi ya CHADEMA Ni kulalamika kama wanaonewa si waende mahakamani ili mahakama itafasri sheria.
 
Mambo ya mwendazake yameanza tena...

Kweli nimeanini CCM hawana uwezo wa kupambana kwa hoja; msaidizi wao huwa ni Police, mahakama, Tume ya uchaguzi, Msajili wa vyama vya siasa, Uhamiji

Kwa sasa wananchi wana upeo mkubwa.....

Kazi ndiyo inaanza namna hii...
 
Polisi wa Nyakato Mwanza, wamezua kongamano la Katiba mpya kwa Sababu walioandaa Kongamano kawajatoa taarifa Polisi. Hivyo likifanyika bila kibali cha Polisi litakuwa ni batili.

Nyumbu ni nyumbu tu. Baada ya mama kushauriwa vibaya na kumtosa sabaya wakajua mama ni mtu wao🤔🤔. Watu tuko busy kujenga nchi wanaanza kuleta porojo kututoa kwenye reli. Sifa kibao kwa mama huku wakimpiga vijembe mwanamapinduzi shujaa magufuli. Walaaniwe wapinga maendeleo.
 
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa mamlaka yake ya uteuzi , huyu aliudanganya umma kwamba ametumwa na Rais wa Tanzania kuzuia kongamano la Katiba mpya , wakati si kweli , Rais wa nchi hawezi kufanya kazi na mtu mdogo kama RPC , Rais anafanya kazi na IGP tu , huo ndio mgawanyo wa Madaraka unaofahamika , RPC muongo na mzandiki hafai kubakishwa ofisini , atimuliwe haraka kwa maslahi mapana ya nchi au ajiunge na ccm kama alivyofanya Zelothe Steven

Haya sasa amewakamata wazee na Maaskofu halafu baada ya kukosa kesi ya kuwabambikia akaamua kuwaachia bila masharti yeyote ! ikiwa kama walifanya makosa kwanini waachiwe kibwege tu bila kushitakiwa kwa kuvunja katiba ya nchi kama huyu RPC muongo alivyodai ?

✌️✌️✌️.jpg

Kama tuliweza kumg'oa Mambosasa DSM huyu mtu mdogo wa Mwanza hatoboi , tupeni muda kidogo tu .
 
Acheni usanii RPC aliwapa barua siku nyingi tu kuwa amekataza mkutano mkawa mnaipost kwenye mitandao.
 
People’s POWERRRRRRR ✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾

Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa mamlaka yake ya uteuzi , huyu aliudanganya umma kwamba ametumwa na Rais wa Tanzania kuzuia kongamano la Katiba mpya , wakati si kweli , Rais wa nchi hawezi kufanya kazi na mtu mdogo kama RPC...
 
Asante RPC kwanza umesaidia kueneza elimu ya katiba mpya ndani ya Massa 24 kwa kasi ya 8G
Kuliko ambavyo kongamano lingefanyika
 
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa mamlaka yake ya uteuzi , huyu aliudanganya umma kwamba ametumwa na Rais wa Tanzania kuzuia kongamano la Katiba mpya , wakati si kweli , Rais wa nchi hawezi kufanya kazi na mtu mdogo kama RPC...
Lwaitama Mwl wangu umekengeuka kabisa na siasa?

Siasa ni clashes of interest ungebaki tu na ualimu wako
 
Back
Top Bottom