Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya

Polisi pia ni muhimu kwa maana walinda amani. Chochote kitakachotokea watasaidia.

Si kwa vikao vya ndani, Neno la Polisi si sheria....

Vikao vya Harusi, Kitche Party, Send Off vinapata kibali wap?..

Ukihost Event sehemu unachukua kibali polisi. Waulizwe kina Coy Mzungu kama wanapewa ibali..

Polisi wanatoa kibali kwa mikutano ya hadhara, Tena kisheria wanapaswa kupewa taarifa tu na kama watazuia watoe sababu za msingi
 
Polisi wanamilikiwa na chama cha kijani
 
Huyo aliyetoa hilo tangazo ni mjinga.

Tangu lini kufanya mikutano au vikao vya ndani vikahitaji kutoa taarifa Polisi?

Angeweka na kifungu cha sheria kinachotamka hicho anachokitaka. Polisi hana mamlaka ya kutamka kuwa mkutano au kikao fulani ni batili. Kinachoweza kutamka hivyo ni sheria. Aweke sheria ambayo inabatilisha kikao cha ndani ambacho polisi hawajapewa taarifa.

Hawa ndiyo wanaopewa nafasi lakini uwezo wao ni mdogo kuliko nafasi wanazopewa.

Polisi lama hawa wasiojua sheria na mipaka ya mamlaka yao, wanatakiwa kuondolea mara moja.
Kwa kuwa huyu jamaa wa polisi ameonesha kosa kwa kusema nanukuu "...ukizingatia kuwa mikutano yote ya nje na maandano vilipigwa marufuku....." wamefanya hii kuwa rahisi...Chadema wamjibu wamwambie MKUTANO NI WA NDANI SIO WA NJE NA WALA SIO MAANDAMANO HIVYO WATAKUWA HAWAJA KAIDI AGIZO LOLOTE!
 
Walitakiwa watoe taarifa polisi mkuu au haikupaswa iwe hivyo!
Vikao vya ndani haviitaji kutoa taarifa polisi.
Huyu mama tukimwendea kwa upole na ustaarabu atasikiliza ombi letu, hana shida mkuu.
Halafu unaelewa ya kwamba haki huwa inachukuliwa na siyo kuombwa?Unaelewa ni kwa nini haki haipaswi kuombwa kama wewe unavyotaka tumwendee Mama kwa ustaarabu?
 
Chadema hawafanyi kikao cha chama ila wanafanya kongamano na wanaalika watu mbalimbali...makongamano yenyewe ndo hayo ambayo wakina mdude wanatukana tu.
Kwani mdude sio mwana CHADEMA?
Hebu niambie wanatukana matusi gani?
Tumia akili yako vizuri hata kwa uchache.
 
Kumbe! Nilikua siyajui hayo mkuu. So Wafanye watakavyo lakini swala la katiba mpya liko pale pale, Mungu asaidie lifanikiwe
Halafu unaelewa ya kwamba haki huwa inachukuliwa na siyo kuombwa?Unaelewa ni kwa nini haki haipaswi kuombwa kama wewe unavyotaka tumwendee Mama kwa ustaarabu?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom