Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mchome Jr, usitete kamasi za haka kamji...ni kachafu sana...look....ukifika mianzini mataa kwende huko juu ni uozo mtupu tope na taka kibao kama sokoni wakati ni ndani ya Km1.5 za jiji...ukifika kona ya ilboru kwenda juu ni taka tupu...Sanawari mataa kwenda juu ni uozo mtupu...Mount meru kwena juu kuna kilami mshenzi hapo kinaishia ofisi za serikali baada ya hapo ni taka tupu kwenda juu....Yaani kimsingi unaposhuka mainroad ukienda kulia au kushoto ndani ya mita 50 ni vurugu tupu .....yaani ndani ya jiji mpama leo kuna nyumba zimejengwa kwa tope na fito za miti within 2km of the city! Bado unajisifia jiji!
Ukweli unauma
 
Naishi Arusha nasema kweli Mji wa Mwanza pamoja na madhaifu anayoyasema mtoa mada bado Arusha haiwezi kuifikia Mwanza!

Tazama Arusha ukishuka barabara kuu tu mita 50 kuelekea makazi ya watu ni utumbo mtupu....hakuna mpangilip wa nyumba kabisaa, watu wamejenga hovyo hovyo...
ukiacha maeneo ya hotel za kitaliii Arusha ni kamji kachafu sana!
Wana leta utani
Mwanzaaaaaa
 
Wana JF

Sina lengo laku pambanisha Mwanza Vs Arusha ila kiukweli nashindwa kuelewa nini kimeisibu Mwanza.

Mwaka 2002 Nikiwa shuleni Mwanza nilijiona kama nipo Dar ndogo.Mwanza ilikuwa motoMambo yalikwenda faster mji ulikua unakua kwa kasi sana

Nilikuwa nikiamini kufikia 2015 jiji la Mwanza litakuwa la mfano kwa ukuaji wake cha ajabu na kushangaza Arusha ndio inakuja faster huku Mwanza ikidorola kama mtoto mwenye utapia mlo kulikoni.

Tatizo nini Mwanza?Kama kuongozwa imeongozwa na CDM muda mzuri tu kwanini Haipai kwa kasi ilee!?

Nashindwa hata kulinganisha Mwanza VS Arusha maana Arusha kwasasa ipo moto vibaya kama hali itaendelea kuwa hivi tutegemee Arusha kuwa ndio jiji la pili kwa ukubwa Mwanza inakuja kupitwa na Dodoma itanikera sana.

Fanya utafiti wako vizuri kisha urudi upya ukielezea pia ni katika nyanja zipi?
 
1017110_572083782834801_1282060477_n.jpg
 
Mada za hivi zinatokana na watu wenye mawazo kama kondoo
 
Double road iko arusha ipi? Achana na hicho kipande cha Aicc road.
nakuambiaje kama ni four lanes ndo unaongelea kuachana na ile ta aicc kuna ya kutoka arusha mjini mpaka moshi/taveta holili kenya na iko under construction yani navyoandika hapa tayari madaraja yanajengwa itakua tayari kutumika 2018
btw huko mwanza kuna barabara kama ile ya aicc ngapi,?
 
Back
Top Bottom