Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,390
- 11,890
Mkuu SaiGonE kubishana na muha ni kazi hawa watu huwa wanapeana mpaka shift ya kubishana na watu ndiyo maana mimi nimemkacha
Kipande cha arusha town mwaka 2011 hapo chini...jiulize leo inakuaje..Hii picha inawekwa Mara ngapi
acha kupotosha hii ni barabara mpya inayojengwa ya 6 lane.![]()
![]()
Mchome jr, hapa pekee ni ndani ya jiji nyuma ya hayo majengo ni taka zimerundikana huko
Mwanza ndio kila kituMwanza ndo home,
Arusha mnaikimbia kama Kuna Kunguni mtaaniKwa hyo rocyt mmewekewa hapo ndo useme jj nenda arusha utaona jiji co hicho kimji mnaita jj
Mtoa mada analeta masihalaWewe mtoa mada inaonekana umeingia leo mwanza yaani mwanza ya miaka ile 2002 ulinganishe na mwanza ya 2016 acha utani mwanza imepiga hatua sana ninachokushauri nenda kwenu kigoma mkajenge dubai mliyoahidiwa na jk mwanza yetu tuachie wenyewe
Mwanza ipo vile vile na kasi yakeTatizo nini limeikumba Mwanza mkuu
Wacha uchokoziLaana ya kuua vikongwe, wanawake, na albino inawatafuna...
Na itawatafuna.
Tukio la juzi Sima limenisikitisha sana & ni muendelezo wa upumbavu wa wasukuma wenzangu.
Kwa msuka maeneo gani?Hehehe haya mkuu
Ila umepanic tu
Mie Mwanza ndio Nyumbani kwasasa
Kigoma ni Nyumbani kwa Asili
Baba na mama yangu walihamia Mwanza mie na miaka 7
Kwa msuka ndio home
Hivyo naijua Mwanza sana
Nimesomea Pamba
Kasi iliokuwapo 2002-2010. Haipo sasa
Mwanza imedoda
Kweli bwanaAcheni kuifananisha Mwanza na upuuzi,Arusha bado ni Manispaa tu...hakuna cha maana japo taasisi kubwa za kiserikali Kama TANAPA,TAEC,AICC zina makao Makuu...ila Mwanza inajengwa na wanamwanza wenyewe...Kutoka Igoma mpaka Buhongwa ni Route ndeefu ila.bado uko ndani ya jiji na hamna uswahili...Mwanza ni kubwa imepanuka na huduma kubwa kubwa za kibiashara na si Arusha...
Niko Arusha mwaka wa Sita sasa ila nikifika Mwanza najisikia raha...hasa nikiwa Kenyatta road kuelekea Airport ukiona mwambao wa Victoria ni Raha hasa...Huku Arusha ni viroba na bangi tu...sehem ambayo iko vzuri ndo inaendelea kwa sasa ni Njiro,tena Mwisho ni hapa Njiro kwa Msola...ila maeneo mangi ni uswahili afu kamji ni kadogo mno.
Mwanza ndo jiji la pili kwa ukubwa,wingi wa watu na kiuchumi...Jamani mnapoandika vitu mfikrie vzuri.MWANZA ipo Top five ya majiji Afrika Mashariki..na si Manispaa ya Arusha
Jiji la marahaMwanza oooooh mwanza mwanza mji mzuri oooooh ndani ya mwanza eeeeeh
Wapi hapaMita ishirini kutoka Mainroad
![]()
![]()