Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

unazungumzia maisha bora! maisha bora ni ya kwako binafsi na familia yako, usije ukajidanganya wale ombaomba dar wana maisha bora zaidi ya karim wa karagwe nayemiliki viwanda vya kahawa na vituo vya mafuta. au wale wanaofanya kazi ngumu kwenye migodi ya makaa ya mawe kule china na india na juzi hapa walikuwa wanalalamika hakuna maji eti wana maisha bora kuliko mie wa wa tz ambaye naoga maji ya kutosha kwenye bomba la mvua, nakula sato fresh, nk. ubora wa maisha yako hauko kwenye makaratasi aisee
wakati mkazi wa arusha tiba ikikosekana hospital ya mkoa itambidi asafiri kutafuta tiba mkoa mwingine, mkazi wa mwanza ikishindikana hospital ya mkoa atapewa rufaa ya bugando ndani jiji.
wakati mkazi wa jiji la arusha akitaka kupanda ndege ya abiria atambidi asafiri hadi nje ya jiji na nje ya mkoa, mkazi wa mwanza anapanda ndege ndani ya jiji.
wakati mkazi wa mwanza yule wa chini kabisa ambaye hana bomba la maji ananinua dumu la lita 20 la maji safi kwa tsh. 50 mkazi wa arusha ananunua maji ya chumvi kwa tsh 1000 meno
machafu kama nini.
wakati mkazi wa kawaida wa jiji la mwanza anaoga maji ya presha ya kutosha kwenye bomba la mvua mkazi wa kawaida wa jiji la arusha anaoga maji ya kwenye kindoo tena nusu.
wakati habari za kimataifa kwa lugha ya kiswahili za bbc watanzania wanazitazama kupitia startv live kutoka mwanza city, jiji la arusha hakuna tv station inayotazamwa hata monduli.
wakati wakaz wa mwanza wanavuka barabara juu kwa juu wanaarusha wanavizia kama panya gari iko mbali ndo wanavuka tena kwa mbio kali mno! ebo mtavunjika miguu.
Asee pointless
 
f346cce67945b1f72990c56325268f58.jpg
e325dbcd3fac3cf0e497e7ee97692cba.jpg
27faa53a7c9872e1f3b8a5a7a2608b31.jpg
Kwa kuwa unarudia ngoja na mm nikupe vitu...
1463216518389.jpg
1463216551004.jpg
1463216558522.jpg
1463216592744.jpg
1463216609341.jpg
1463216617311.jpg
1463216627995.jpg
1463216641670.jpg
1463216668716.jpg
1463216702161.jpg
1463216718591.jpg
1463216748274.jpg
1463216770814.jpg
1463216819991.jpg
1463216840534.jpg
 
Kabla hata hizo pesa hazijaletwa huko upanuzi wa barabara kutoka tengeru mpaka sakina ulishaanza kitambo na inategemea kukamilika mwisho wa mwaka huu baada ya hapo kuna arusha bypass itaanza kujengwa sasa km wewe unategemea hadi sherehe zizuiliwe ndo barabara zijengwe sawa.

wakati ya nyakato mlango
mmoja ishakamilika na inatumika
 
Akili mzigo, sasa ngoja nikufundishe Ruvuma imeizidi Arusha kwa GDP per capita ila Arusha imeizidi Ruvuma kwa tax collections... Ruvuma imeizidi Mwanza kwa GDP per capita lakini Mwanza imeizidi Ruvuma kwa Tax collection.. Arusha imeizidi Mwanza GDP per capita na Arusha pia imeizidi Mwanza kwa Tax collections...

Lakini bado report ikaendelea kusema mikoa pekee yenye maendeleo hapa Tanzania ni Dar, Arusha na Kilimanjaro...

View attachment 347385

Hayo waliyasema hapa...
View attachment 347386

Lakini pia wakaorodhesha na mikoa mingine yenye maisha yanayoridhishwa kwa ujumla.. hapa
View attachment 347387

Huko kote Mwanza mmewekwa mko kwenye mikoa yenye maisha duni... Sio mimi ni researchers wa UN wakishirikiana na Serikali yako... Na bado TRA inasema Arusha inakusanya kodi zaidi ya Mwanza
Naomba unielezee na hili jedwali...

Je siku Mwanza ikikusanya kodi zaidi kuliko Arusha tokana na vyanzo vya kodi na biddi za wakusanyaji na kubana mianya ya ukwepaji kodi, je kwa mtazamo wako Mwanza itakuwa ni bora zaidi ama...?!

nielezee kwanza hili jedwali... halafu ujibu na hilo swali...
74f5ceb58e8e794024684da291f17ae9.jpg
 
Wekeni picha za magorofa yaliyopo na yanayoendelea kujengwa(U/C) tukate ngebe,hatutaki mapicha ya mipango mikakati sijui mahsusi hapana,wekeni reality kwenye sekta zote
 
Naishi Arusha nasema kweli Mji wa Mwanza pamoja na madhaifu anayoyasema mtoa mada bado Arusha haiwezi kuifikia Mwanza!

Tazama Arusha ukishuka barabara kuu tu mita 50 kuelekea makazi ya watu ni utumbo mtupu....hakuna mpangilip wa nyumba kabisaa, watu wamejenga hovyo hovyo...
ukiacha maeneo ya hotel za kitaliii Arusha ni kamji kachafu sana!
 
Naishi Arusha nasema kweli Mji wa Mwanza pamoja na madhaifu anayoyasema mtoa mada bado Arusha haiwezi kuifikia Mwanza!

Tazama Arusha ukishuka barabara kuu tu mita 50 kuelekea makazi ya watu ni utumbo mtupu....hakuna mpangilip wa nyumba kabisaa, watu wamejenga hovyo hovyo...
ukiacha maeneo ya hotel za kitaliii Arusha ni kamji kachafu sana!
Jiji gani linashikilia tuzo ya usafi kwa sasa hapa tz?
 
Back
Top Bottom