Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

adcce65baa78b48fe33c60a2e2bb5c98.jpg

U/c
 
Ebu sema mambo yanayokufanya kuisifia arusha.....ambayo yanakutisha na utupe takwimu za ukuaji wa arusha kwa mwaka.....au unakuja na 0rojo jumlisha porojo????
 
Hehehe haya mkuu
Ila umepanic tu
Mie Mwanza ndio Nyumbani kwasasa
Kigoma ni Nyumbani kwa Asili

Baba na mama yangu walihamia Mwanza mie na miaka 7

Kwa msuka ndio home
Hivyo naijua Mwanza sana
Nimesomea Pamba

Kasi iliokuwapo 2002-2010. Haipo sasa
Mwanza imedoda
Kumbe wewe ni Muhaa....basi waha ni wabishi dunia nzima....ndo maana kigoma haina tofauti na udengerekoni.....
 
Mlete mwanza Huyo. Nimsaidie kitu watoto wote wanaotoka arusha kuja kusoma mwanza hawataki hata kurudi kwao arusha ...hata yeye akifika mwanza hata rudi kwao
 
Lets conclude hapa kwamba Mwanza imeshinda kumbe mtoa mada alitaka uchokonozi wa kufahamu status ya mwanza as the second biggest city in the country but tunataka mjenge towers not those dwarf magorofa they are even in Singida
 
Hehehe Maghorofa Mwanza yapo
 
Lets conclude hapa kwamba Mwanza imeshinda kumbe mtoa mada alitaka uchokonozi wa kufahamu status ya mwanza as the second biggest city in the country but tunataka mjenge towers not those dwarf magorofa they are even in Singida
Haha singda nako kuna ghorofa?
 
Kaka embu weka picha za huko tunakoishi si huko tunakokwenda kufanyia semina zetu...maake 60 percent ya mazingira yetu ndiyo yanaeeza kuamua ile kweli tunayotaka kuiona
Sasa nawe si ueke au unataka kila mtu aeke nyumbani kwao
 
Back
Top Bottom