Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

(17).jpg
 
Nilidhani najadiliana na mtu anaye elewa miji yote miwili kumbe ni shabiki tu kama hawa wa ligi zetu za matopeni!!
Timbilimu upo sahihi, centre ya mji wa Arusha ni ndogo sana kulinganisha na Mwanza.
Kuna sehemu Mwanza katikati ukisimama na kuangalia pande zote za nchi haumalizi mpangilio wa maghorofa.
Arusha hakuna mitaa yenye maghorofa mpaka mwisho.
Kidogo Goliondoi Street sema ni mdogo na ghorofa ni fupi fupi
 
Mchome Jr, usitete kamasi za haka kamji...ni kachafu sana...look....ukifika mianzini mataa kwende huko juu ni uozo mtupu tope na taka kibao kama sokoni wakati ni ndani ya Km1.5 za jiji...ukifika kona ya ilboru kwenda juu ni taka tupu...Sanawari mataa kwenda juu ni uozo mtupu...Mount meru kwena juu kuna kilami mshenzi hapo kinaishia ofisi za serikali baada ya hapo ni taka tupu kwenda juu....Yaani kimsingi unaposhuka mainroad ukienda kulia au kushoto ndani ya mita 50 ni vurugu tupu .....yaani ndani ya jiji mpama leo kuna nyumba zimejengwa kwa tope na fito za miti within 2km of the city! Bado unajisifia jiji!
 
Tunaeleweshana tu mkuu kipindi cha nyuma mji ulikua mchafu kweli lakini kuanzi 2015 mwanzoni km wewe upo arusha utaelewa kwanini imepewa tuzo ya jiji safi na sio hayo majiji mengine.
 
Mchome jr tatizo unatembea ndani ya gari muda wote...huu mji waulize waenda kwa miguu?
 
Huyu jamaa anasema hayo kwa sababu ya uzinduzi wa majengo ya nssf aliyozindua Jmp....ndo kipimo cha kusema arusha inarndelea..
 
Mchome jr tatizo unatembea ndani ya gari muda wote...huu mji waulize waenda kwa miguu?
Mkuu kama ni hivo basi napata mashaka sana na hali ya usafi kwa mwanza kwasababu kama arusha ni pachafu na bado panapewa tuzo ya jiji safi tz tena kwa kuipindua mwanza unafikiri mwanza hali iko vipi.
 
Back
Top Bottom