Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mitindo huru nakufaham vizuri siku zote wewe huwa una chuki na arusha
Mchome miji yote mikubwa Tanzania nimeishi anzia DSM, Mwanza, Arusha, Mbeya, Tanga, Dodoma n.k ukiniuliza mitaa maarufu kwenye hii miji nitakwambia.
So sina chuki na mji wowote, ila ninavyoona ushindani kama huu mda mwingine inanikumbusha mbali sana sababu kuna maeneo mengine nilishayasahau mda mrefu.
 
Arusha
1463257978312.jpg
1463258044197.jpg
1463258056687.jpg
1463258077811.jpg
1463258128292.jpg
1463258144822.jpg
 
3efcd22c8e7069852683c0d778f13c87.jpg

aed3f4c7aaaa5f0b002e26d222aa38d0.jpg

Haya mji wenu huu! Hapa ngulelo
broo hii road si ipo under construction btw umesema kuna lami mt meru kupandisha hadi zilipo makao makuu ya arumeru after hapo ni takataka tupu ndugu yangu toka lini sekei ikawa ndani ya jiji na hata hivyo hakuna takataka kama unavyo sema....
hata hivyo karibu Big y hapa sekei
 
teh teh teh teh wanaishia kuweka vipicha ila verified data from known institutions hawataki kusikia... Mwanza vumbi tu hakuna pesa pale.. Kelele nyingi ila wamiliki uchumi pale ni wahindi (wengi wao wako Dar), wamara na wachaga..
inaonesha unachuki binafsi na wazawa wa mwanza nlichogundua kutoka kwa comments zako.....sijui walikukwaza nn mkuu
 
baada ya sherehe za uhuru kuahirishwa pesa zilipelekwa kupanua barabara za jiji kuu la dar na baada ya sherehe za muungano kuahirishwa pia serikali iliamua kupeleka fedha hizo kupanua barabara ya jiji kuu la pili MWANZA. pesa kama hizi hazipelekwagwi kwenye vimiji vidogovidogo
nilicho gundua kutokana na mchango wako ni kuwa dar na mwanza zinapata msaada kutoka kwa serikali ili kuzijenga huku arusha na majiji mengine yakijijenga bila msaada kutoka kwa serikali kama dar na mwanza wapatavyo!........ama kweli mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.......
 
nilicho gundua kutokana na mchango wako ni kuwa dar na mwanza zinapata msaada kutoka kwa serikali ili kuzijenga huku arusha na majiji mengine yakijijenga bila msaada kutoka kwa serikali kama dar na mwanza wapatavyo!........ama kweli mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.......

hizo roads za arusha ingawa vifinyu kajenga nani?! au mlichangisha kwa balozi mkanunua lami mkazijenga?!
 
Back
Top Bottom