Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Mama samia akijaga mwanza asimame buhongwa au igoma hyo ndo nafas ya kumbana mama tunataka barabara ya dual carriage kutoka mjini had usagara badala yake anaongelea madarasa na vituo vya afya
Katika vitu ambavyo sipendi viongozi wajisifie navyo ni madarasa na vitu vya Afya...

Yaan huwa wananikera kweli...



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ilemela maisha Ni expensive sana ...na usalama ni mdogo ,,,nilishawahi kaa mitaa ya Ghana pale sio Kwa wizi ule .vyumba expensive,vyakula ghali lakini nyamagana
Ukiwa na salary hata 150000 unaishi fresh na ndio maana watu wa Hali ya chini wanahamia sana milima ya nyamagana huku vyumba Hadi elfu 10 unapata

Igoma
,Igogo
Mkuyuni
Buhongwa
Mabatini
Mahina
Butimba
Mkolani
Mhandu
Mitaa hii ukishindwa kuishi basi mwanza huiwezi aisee
Hii mitaa uliyotaja unafananisha na mtaa gani ilemela? Nyumba inakuwa expensive kulingana na ubora wake.
Igogo unakuta baadhi ya nyumba hazina hata plaster utapangisha kwa shilingi ngapi nyumba kama hiyo?
 
Sasa hawa si matajiri angalia Milima iliyojengwa na matajiri na iliojengwa na maskini.
Hata hapo capripoint kuna sehemu wamejenga maskini ni pa hovyo.
Kuna watu wanajenga nyumba wengine tunajenga sehemu za kujihifadhi.

Kwaiyo unamaanisha masikini hana nafasi kwenye maendeleo ya jiji letu, Dunia Dunia.

Nacho amini ata uko kwa masikini wakiamishwa wote then wakaweka ramani mpangilio wa jinsi ya kujenga alafu wakaruhusu na hao masikini wajenge wapo watao weza kujenga pia maana mtu anaeza jenga nyumba ya haraka haraka sababu ramani anayoyeye kichwan mwake na anatafuta urahisi ndo matokeo yake ndo ayo ila akipewa mwongozo atatumia muda na kutuliza akili wakati w kujenga.

Tukiwafukuza ata huko watakoenda kutapata thamani badae alafu tutaona hakufai wao kukaa na huko wafukuzwe tena sio sawa ivo.
 
Overland ndo Nani au ndo laizerg , mana wewe kama sikosei ulikuwa unatumia jina la Rock city mi nilikuwa natumia sirg ha haaaa, daah Ila hzi thread za Mwanza , tumetoka nazo mbali , kuna mwanangu Mkuu wa chuo , naye sjui alipoteleaga wapi , moja ya watu walipambana Sana kwenye thread za Mwanza Vs Arusha zile za mwanzo
nipo huwa nafuatilia mara nyingi wakitokea vichaa kama kina The Sunk Cost Fallacy wakipotosha tunawaweka kwenye mstari...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hii mitaa uliyotaja unafananisha na mtaa gani ilemela? Nyumba inakuwa expensive kulingana na ubora wake.
Igogo unakuta baadhi ya nyumba hazina hata plaster utapangisha kwa shilingi ngapi nyumba kama hiyo?
Hvi vijumba vilivyopo nyamanoro,kirumba milimani ,kitangiri,bigbite unaona ni standard au
 
Tukubali tukatae, Ilemela ndio taswira ya jiji la mwanza, ukikaa vizuri ukafikiria utagundua wakazi wa Ilemela wako tofauti Sana na nyamagana, watu wa Ilemela na kata zake wanaishi kishua kwelikweli ila sisi wa nyamagana ni holaa kabisa, ilemela yote imekaa kishua Sana kulinganisha na hii nyamagana anaebisha na abishe
Ilemela ndio mandhari ya jiji la mwanza.
 
Mitaa ya huko kirumba . ilemela..ni tabu tupu .huyu mwanasiasa anatembelea wajumbe wake
20221002_184301.jpg
 
Hili suala lipo kwa viongozi wengi tu wakubwa, huwa hawana maamuzi kwa ajili ya miaka 30-50 mbele, Hata Arusha ile dual carriage wanayo ringia ni hekima z JPM the same to Ilemela. Daraja la Busisi, Ununuzi wa ndege mpya, ujenzi wa Airports nchi nzima. Kwa wabunge wetu wa Mwanza hakuna mbunge anayeweza kusimama kuomba dual carriage tu nyingine katikati ya jiji
Hapo Kwenye suala la Kuomba dual carriage wabunge wanajitahidi sema serikali inafanya feasibility study miaka nenda rudi
 
Mitaa ya huko kirumba . ilemela..ni tabu tupu .huyu mwanasiasa anatembelea wajumbe wakeView attachment 2375199
Ila kuishi . mlimani ni kipaji Jamani. .ni tizi Moja ambalo huhitaji kwenda hata jimy au jogging...,,,,Ile tabu ya kupanda mlima hasa unapofata maji huko bondeni ,,,,,miaka hyo mwanza kulikuwa hamnaga mabomba mlimani , ilikuwa tabu tupu ,,,,enzi hzo nakaa mahina kambarage karibu na mkuyuni ule mlima sio ulitaka kunitoa meno siwez sahau ...serikali sa hv wamejitahid kupandisha maji mlimani ..
..wanaokaa milima ya mbugani pale town aisee kazi wanayo ...mim kiwanja Cha mlimani kwenye mawe hapana ..maybe iwe milima yenye tambalale juu kama palivyo nyegezi majengo,au mabomba nne kule
 
Back
Top Bottom