bronze
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 437
- 823
Ila wazee tuseme ukweli li uwanja la CCM kirumba lipo Kama gofu hivi hao CCM hawezi kulifanyia renovation hata kidogo? Atleast hata kulipaka rangi?Ebu tazama nyuma ya uwanja hizo slums..View attachment 2375220