Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Kuna mdau wangu mmoja aliniambia ukitaka kununua kiwanja kwenye mji wowote, nunua maeneo ya Kaskazini au Mashariki

Chukua miji mikubwa yote kama Dsm, Arusha na Dom angalia Kaskazini / Mashariki kuna mitaa ya aina gani,? Halafu Magharibi / Kusini kuna mitaa ya aina gani?

Njoo kwa nchi upande wa Mashariki na Kaskazini kuna mikoa ipi?

Kwa nchi Kusini na Magharibi kuna Mikoa ipi?
Sijui kama kuna ukweli hapa

 
Kuna mtu hapo juu kaongea kitu cha msingi Sana ukitembelea kwenye websites za halmashauri zetu eti kitu cha maana utakacho kutana nacho ni ujenzi wa vyumba vya madarasa tu! Yani serious li halmashauri likubwa libashadadia ujenzi wa madarasa tu

Zaidi zaidi hizo websites unakutana tu na uhamasishaji wa chanjo za UVIKO! Yani ni mambo ya ajabu ajabu kweli
Second city, website yake imejaa miradi ya vyoo na madarasa, halafu utafikiri hivyo vyoo na madarasa ni vizuri kumbe utopolo tu.
Vibanda pembezoni mwa barabara hasa hizi kubwa ni uchafu, hakuna cha free market wala nini.
Kwa hiyo hata brt hatutajenga maana tutaharibu free market economy.
 
Vumbi wapi unakaa wewe...ukiwa na hela huwezi kaa nyamagana yenye vumbi capripoint,mwananchi, nyakato, majengo mapya
nyakato kubwa mzee, hata nyakato steel nayo nyakato sasa Kuna Nini kama sio vumbi tu, by the way me nipo hapa buhongwa center kabisa ila huku hapana

Hebu ona maeneo ya Ilemela
Pasiansi
Airport
Ghana
Nyasaka
Kiseke A&B
Bwiru
Kirumba
Buswelu
Mission
Ilemela
Hamna sehemu ya kichovu hapo Kaka, hebu njoo nyamagana sasa utachoka
 
Naomba kuuuliza haya maeneo yanapatikana wilaya gani Kati ya hizo mbili?
Kilimahewa
Nera
Kawekamo
Kitangiri
Isamilo
Huwa yananichanganya kidogo
 
Naomba kuuuliza haya maeneo yanapatikana wilaya gani Kati ya hizo mbili?
Kilimahewa
Nera
Kawekamo
Kitangiri
Isamilo
Huwa yananichanganya kidogo
Nera na Isamilo yapo Nyamga, yaliyobaki ni Ilemela hiyo
 
La dual carriage mabula stanslaus huwa analiongelea sana bungeni ila ni kwa vile ana influence wala exposure ila ingekuwa ndo yule mama mabula ameliongelea ingekuwa imeshajengwa ndo maana kuna kipind nilipendaga makonda ndo angekuwa mbunge wa nyamagana
Makonda ana maamuzi na uthubutu, ni kiongozi mzuri sana licha ya kuwa na kasoro chache
 
nyakato kubwa mzee, hata nyakato steel nayo nyakato sasa Kuna Nini kama sio vumbi tu, by the way me nipo hapa buhongwa center kabisa ila huku hapana

Hebu ona maeneo ya Ilemela
Pasiansi
Airport
Ghana
Nyasaka
Kiseke A&B
Bwiru
Kirumba
Buswelu
Mission
Ilemela
Hamna sehemu ya kichovu hapo Kaka, hebu njoo nyamagana sasa utachoka
Kirumba si ndio milima yenye uswahili ,...tafuta hela brother vumbi huwezi liona....
Isamilo , capripoint,mwananchi,nyakato Temeke, nyegezi majengo,
 
Tatizo linaanzia kwetu sisi .wananchi kujiona ni wanyonge tunaonelewa na kuwa brainwashed na conspiracy theories,,,mwananchi akizuiwa msijenge sehemu flan ,tunasema nchi imeuzwa ,sijui wamepewa watu flani ..hili suala linafanya hata wataalamu wetu wenye mawazo Bora kukataliwa na wanasiasa wanaosimamia sera ili tu kuwafurahisha baadhi ya wananchi watakaowahakikishia ulaji ....

Dawa ya kuleta maendeleo hapa mwanza ni kuwaondoa watu ujinga walionao na wakubali mabadiliko yenye maumivu

Swala la kuondoa nyumba milimani siliafiki mkuu maana hata izo nyumba zikijegwa vzuri milimani zinavutia na kuliletea jiji mwonekano wa kipee..kichua mfano wa Bravary hills/HOLLYWOOD HILLS marekani mbona kunavutia sana tuu na huko Mwanza kuna sehem inaitwa capripoint mbona kumejegwa vizuri sa assum kote mwanza milimani kungejenywa kwa mifumo rasmi kungependeza sana.
 
Policy za mipango miji zipo kwenye makaratasi, tatizo utekelezaji, siasa ia nguvu sana kuliko taaluma. Watu wanafikiria kuwin votes zaidi. Suala la kudeal na squartters za milimani ni tamko tu sema watu wanahofia kupoteza kura.
Na hili ndilo jibu la kwanini hawafanyi maamuzi. Ile milima ni jicho la Jiji, mtu akiingia mwanza Cha kwanza anakutana na milima. Akiitazama Inampa picha ya Nini kilichopo hapo hata kabla hajakanyaga CBD. sasa sura ya jiji imejaa squatter si hatari hiyo. Inaharibu muonekano wa Jiji bhana. Bora hata wangekubali milima ya igogo, bugarika na mabatini wawahamishe watu ili wawekezaji wajenge apartments zenye mvuto kuliko kulivyo sasa hivi.
 
ilemela nao wanachonishangaza lile bati la mwaloni wameshdwa kulipiga tena Rangi nzur wakaandika yale maandishi ya balimi vzur 😄😄😄😄
Solo la mwaloni ni label kubwa sana kwa Jiji halipaswi kuwa la kishamba vile unajua like ni international market mizigo inatoka pale straight mpaka nchi za nje. Hawaoni kama ni chanzo kikubwa Cha mapato wakalijenga kuendana na linachochangia. Liko sehemu ya fukwe hapo pembeni yake kungekuwa na vitu vya maana wakapiga pesa nyingi kwa wakati mmoja. Yaani Hawa watu wetu wanasafari ndefu sana ya kujifunza na kuelewa
 
Hili jiji la mwanza Kuna maeneo yanakasirisha Sana ukiwa unapita mpaka unajiuliza hamna mipango mizuri ya kuyaboresha kwamba yatabaki hivyohivyo miaka yote mfano wa hayo maeneo ni
1.buhongwa
2.mkolani
3.mkuyuni
4.butimba
5.igogo milimani
Aisee haya maeneo yanakera mno, ni machafu, vumbi, majengo yamechoka na yamechakaa mnoo.

Pia Kuna lile eneo linaitwa mitatu baada ya mswahili pale wanapoanika dagaa, jamani hivi imekosekana namna nyingine ya kuwataftia waanika dagaa eneo jingine!? Aisee pananuka mnooo na ndo lango la kuingilia mjini Kati hivi tupo serious kweli?

Mwisho, aliejenga barabara ya Saut kuelekea huko luchelele ni mpumbavu ( najua ni tarura) ila umefanyika upumbavu Sana pale kwenye hiyo kilometer moja Bora hizo hela zote zingeishia kwenye matumbo yao kuliko kutengeneza ule ujinga
😀😀😀🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndio maana Kama huwa unapanda daladala, ukiwa route za mitaa ya Ilemela hutowahi kusikia kilugha eg. Kisukuma, kikerewe kiha etc kwenye usafiri, panda sasa route za nyamagana utachoka, yani ni Kama vile umepanda gari za kwenda maswa simiyuu
Ilemela ni kama wamejitahidi sana kupima ardhi.
 
Back
Top Bottom