Sijasema miliamani wakae masikini au matajiri ilo ni swala la uongozi tuu then kama ni masikini au tajili mwenye uwezo wa kuafford sherila zilizowekwa ndo ataishi, nachongelea ni kuweka utaratibu tuu na ujengaji holela ukatazwe huko mbona dodoma kumewezekana kwa kias kikubwa tuu.
Alafu unaposema milima mingine iachwe na ipandwe miti hii hoja yako niitaikubali kwamsingi wa maendeleo ya mazingira ila nitaikataa kama iyo sehemu inamazingira rafiki ya watu kujenga basi kwakujali mazingira ya asili ya iyo sehemu.
Kuishi hakumaanishi ndo mtu haribu mazingira na kutoa watu milimani na kuacha mawe ndo kutaleta watalii au kuvutia big no chamsingi kabla ya kuamua nyuma kuwepo na factor za msingi sio kufanywe tu kwa kukalili na mihemko.
View attachment 2375009
Hii sehem mbona imejengwa na imeleta tija ma maana kwa wakazi na mazingira hayajahalibiwa assum kama kungeachwa pori tuu kisa mazingira na mawe yaonekane.