Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Shida ninayoiona ni kwamba viongozi wa jiji la mwanza hawana EXPOSURE kabisa yani hawana

Cha pili tuna very SHORT SIGHTED leaders ambao kuwaza future ya mji kwao hicho kitu hakipo kabisa

Cha tatu viongozi wanaochaguliwa kuendesha halmashauri zetu especially MADIWANI, ni watu wanao chaguliwa kwa either umaarufu wao katika eneo husika au walio na maneno maneno mengi au wanao honga Sana nyakati za uchaguzi, kwao uwajibikaji na elimu ni mbalimbali

Nne hatuna watu wenye ubunifu kabisa yani hamna kabisa

Tano na mwisho, samahani Kama ntatumia lugha ya kuudhi au kukejeli ila kiukweli hatuna viongozi wa kuleta mabadiliko, unakuta mtu kazaliwa kata ya mkoloni amesoma mkolani na amegombea nafasi ya udiwani mkolani akapata hiyo nafasi, mtu hasafiri, mtu hatumii njia za tehama mfano simu janja kuangalia miji ya wengine yeye yupo hivyohivyo unategemea huyo mtu aje na ubunifu mpya?!
 
Kuna mtu hapo juu kaongea kitu cha msingi Sana ukitembelea kwenye websites za halmashauri zetu eti kitu cha maana utakacho kutana nacho ni ujenzi wa vyumba vya madarasa tu! Yani serious li halmashauri likubwa libashadadia ujenzi wa madarasa tu

Zaidi zaidi hizo websites unakutana tu na uhamasishaji wa chanjo za UVIKO! Yani ni mambo ya ajabu ajabu kweli
 
ila naona kama ndan ya miaka 10 ilemela wanakuja kuipita nyamagana pale buhongwa halmashauri wangebomoa lile soko la ndani wakawalipa fidia baadh ya watu wale machinga maelfu wanaopanga barabaran wakaingia mule wakakusanya mapato makubwa
 
Kuna muda unakasirika mpaka unasema kuzaliwa hizi nchi za Africa jamani dah. Imagine jiji la mwanza Lina barabara ambayo Ina njia mbili tu za kuingilia, wakija hao viongozi na mamisafara yao njia inafungwa kwa masaa sita Hadi nane yani shuguli za kiuchumi zinasimama Sababu ya mtu mmoja anaetakiwa kupita, ukiuliza shida ni ufinyu wa barabara sasa mtu unabaki kujiuliza Kama hao viongozi wana akili kweli kwa Nini wasipwmbane kuwe na miundombinu mizuri ya barabara ambayo haitaathiri shughuli za kiuchumi za watu hata kama viongozi wanapita?
 
ilemela nao wanachonishangaza lile bati la mwaloni wameshdwa kulipiga tena Rangi nzur wakaandika yale maandishi ya balimi vzur
Shida mapato, TRA wanataka chao tena kutokana na.ukubwa wa Tangazo ni pesa ndefu wanalipa. Ndio maana kuna kipindi baadhi ya Gari za TBL au Bakhresa waliondoa matangazo kutokana na gharama za tangazo.
 
Hili jiji la mwanza Kuna maeneo yanakasirisha Sana ukiwa unapita mpaka unajiuliza hamna mipango mizuri ya kuyaboresha kwamba yatabaki hivyohivyo miaka yote mfano wa hayo maeneo ni
1.buhongwa
2.mkolani
3.mkuyuni
4.butimba
5.igogo milimani
Aisee haya maeneo yanakera mno, ni machafu, vumbi, majengo yamechoka na yamechakaa mnoo.

Pia Kuna lile eneo linaitwa mitatu baada ya mswahili pale wanapoanika dagaa, jamani hivi imekosekana namna nyingine ya kuwataftia waanika dagaa eneo jingine!? Aisee pananuka mnooo na ndo lango la kuingilia mjini Kati hivi tupo serious kweli?

Mwisho, aliejenga barabara ya Saut kuelekea huko luchelele ni mpumbavu ( najua ni tarura) ila umefanyika upumbavu Sana pale kwenye hiyo kilometer moja Bora hizo hela zote zingeishia kwenye matumbo yao kuliko kutengeneza ule ujinga
 
Hili jiji la mwanza Kuna maeneo yanakasirisha Sana ukiwa unapita mpaka unajiuliza hamna mipango mizuri ya kuyaboresha kwamba yatabaki hivyohivyo miaka yote mfano wa hayo maeneo ni
1.buhongwa
2.mkolani
3.mkuyuni
4.butimba
5.igogo milimani
Aisee haya maeneo yanakera mno, ni machafu, vumbi, majengo yamechoka na yamechakaa mnoo.

Pia Kuna lile eneo linaitwa mitatu baada ya mswahili pale wanapoanika dagaa, jamani hivi imekosekana namna nyingine ya kuwataftia waanika dagaa eneo jingine!? Aisee pananuka mnooo na ndo lango la kuingilia mjini Kati hivi tupo serious kweli?

Mwisho, aliejenga barabara ya Saut kuelekea huko luchelele ni mpumbavu ( najua ni tarura) ila umefanyika upumbavu Sana pale kwenye hiyo kilometer moja Bora hizo hela zote zingeishia kwenye matumbo yao kuliko kutengeneza ule ujinga
😄😄😄 Kuna bohari pale vile vijumba vya Airtel ndo maana tunataka upanuzi wa njia nne ili vile vimakaz uchwara vya barabaran viondoke
 
Miji yetu lazima iwe inclusive, ni ujinga eti makazi yawe Bora kabisa halafu watu wanapopata huduma pawe pa ajabuajabu na by the way hapo barabarani ndio taswira ya kata husika
Ukipita buhongwa asubuh unasema hili ni li centre gn ila pita jion kama kariakoo ila ukienda nyakagwe,bulale,nyanembe,buguku,nyangwi kuna majumba mazur balaa af lile jengo la ccm buhongwa la gorofa la njano ni la kijinga sana😄😄
 
Tukubali tukatae, Ilemela ndio taswira ya jiji la mwanza, ukikaa vizuri ukafikiria utagundua wakazi wa Ilemela wako tofauti Sana na nyamagana, watu wa Ilemela na kata zake wanaishi kishua kwelikweli ila sisi wa nyamagana ni holaa kabisa, ilemela yote imekaa kishua Sana kulinganisha na hii nyamagana anaebisha na abishe
 
Ukipita buhongwa asubuh unasema hili ni li centre gn ila pita jion kama kariakoo ila ukienda nyakagwe,bulale,nyanembe,buguku,nyangwi kuna majumba mazur balaa af lile jengo la ccm buhongwa la gorofa la njano ni la kijinga sana
Enhee ona hiko kighorofa cha njano yani dah safari bado tunayo ndefu ndugu zangu
 
Back
Top Bottom