Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Natamani manispaa ipatikane kabla ya 2025, itakuwa poa sana.Bora ichelewe 2026 kisesa na usagara zitakuwa zimekua sana hapo tutaanzisha manispaa
Natamani manispaa ipatikane kabla ya 2025, itakuwa poa sana.Bora ichelewe 2026 kisesa na usagara zitakuwa zimekua sana hapo tutaanzisha manispaa
Hayo maeneo yapimwe tu ili kuepusha informal settlementTatizo sina imani kama tutapata manispaa mpya kwa sasa.
Ndio muendeleze na nyinyi, nimepambana sana kwenye thread ya mwanza, nilichoka tu halafu wali complicate ku upload picha, do nikawa pissed offNajua , alaf sjui Kwa nn uliutelekeza huo Uzi
rockcity man.Ndio muendeleze na nyinyi, nimepambana sana kwenye thread ya mwanza, nilichoka tu halafu wali complicate ku upload picha, do nikawa pissed off
Mimi nilikujulia skyscraper city tukaja humu na mwishowe watsap tuna group letu. Ni mpambanaji sana na Kuna kitu nilijifunz kwako. Hata kwenye huu Uzi Kuna vitu ulikuwa ukiturekebisha. Tunakushukru mkuu🙏🙏Ndio muendeleze na nyinyi, nimepambana sana kwenye thread ya mwanza, nilichoka tu halafu wali complicate ku upload picha, do nikawa pissed off
Kuwa mahususi kwa ajili ya maofisi na maduka makubwaNyegezi International bus terminal kwann wasiandike ivi jamani
View attachment 2373028
Ndio mimirockcity man.
Isanzu iko sehemu ganiPanda gari za ilalila utafika masemele, kabusungu, isanzu nauli ni buku tu baaada ya 600 ile ya dala dala, panda gari za shibula utafika nyamilolelwa shibula na utakua unapaona lukobe!! Kwa ufupi hayo maeneo yote yamesha jengeka, eneo linalovutia zaidi na bado nikipori kidogo ni isanzu wahi viwanja bado nikamseleleko na nivikubwa sana
Overland ndo Nani au ndo laizerg , mana wewe kama sikosei ulikuwa unatumia jina la Rock city mi nilikuwa natumia sirg ha haaaa, daah Ila hzi thread za Mwanza , tumetoka nazo mbali , kuna mwanangu Mkuu wa chuo , naye sjui alipoteleaga wapi , moja ya watu walipambana Sana kwenye thread za Mwanza Vs Arusha zile za mwanzo 😁😁Ndio muendeleze na nyinyi, nimepambana sana kwenye thread ya mwanza, nilichoka tu halafu wali complicate ku upload picha, do nikawa pissed off
Mkuu wa chuo mwamba kweli kweliOverland ndo Nani au ndo laizerg , mana wewe kama sikosei ulikuwa unatumia jina la Rock city mi nilikuwa natumia sirg ha haaaa, daah Ila hzi thread za Mwanza , tumetoka nazo mbali , kuna mwanangu Mkuu wa chuo , naye sjui alipoteleaga wapi , moja ya watu walipambana Sana kwenye thread za Mwanza Vs Arusha zile za mwanzo 😁😁
@Mkuu wa chuo tunapambana nae tena na Sunk huko kwenye uzi wa Kahama Vs NjombeOverland ndo Nani au ndo laizerg , mana wewe kama sikosei ulikuwa unatumia jina la Rock city mi nilikuwa natumia sirg ha haaaa, daah Ila hzi thread za Mwanza , tumetoka nazo mbali , kuna mwanangu Mkuu wa chuo , naye sjui alipoteleaga wapi , moja ya watu walipambana Sana kwenye thread za Mwanza Vs Arusha zile za mwanzo![]()
Katika kutafuta tafuta habari kuhusu project za Mwanza huko Google ndipo siku moja nikakutana na Skyscraper dah nilifarijika sana kukutana na projects kibao kuhusu Mwanza...Ndio muendeleze na nyinyi, nimepambana sana kwenye thread ya mwanza, nilichoka tu halafu wali complicate ku upload picha, do nikawa pissed off
Huyu the sunk fallacy ni mtu hovyo sana@Mkuu wa chuo tunapambana nae tena na Sunk huko kwenye uzi wa Kahama Vs Njombe
ni wa ovyo sana lakini anachangamsha sana thread, mr deo kivevele 🤣 🤣 🤣Huyu the sunk fallacy ni mtu hovyo sana
Mmepata jina lake, kweli wahuni siyo watu wazurini wa ovyo sana lakini anachangamsha sana thread, mr deo kivevele 🤣 🤣 🤣
Mnapagawishwa na upya au .... nyamhongolo still inadeserve kuwa the best terminal ..Kwa sababu zifuatazoStendi ya nyegezi ni balaa asee inatamanisha kuiangalia mara mbili mbili hakika ni international bus terminal![]()
Mmetumia factors gan kusema jengo halifai .... mwonekano au facilities za ndani ..ikumbukwe kuwa magufuli alisema lijengwe jengo la muda wakati wakitafuta bajeti ya jengo kubwa .. limejengwa Hilo la muda still bado Kuna misunderstanding .sioni tatizo kwenye jengo zaidi ya political driven conflict..Ukweli ni kuwa hlo jengo halifai, TAA wapo sahihi, naunga mkono hoja za TAA, kulikuwa na matumizi ya hovyo Sana ya hcho kiwanja cha ndege , design ya Kwanza ilikuwa ipo vizur , na ujenzi ilianza kipind nafkr cha kikwete badae ukakwama, ghafula bin vuu , likaanza kujengwa jengo kama karakana , moja ya maamuzi ya kukurupuka ya JPM .....!!
Ushauri wangu hlo jengo ligeuzwe liwe tank la kuhifadhia mafuta ya ndege