Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Mbona mnaanza kulinganisha miji mara iringa mara moshi, nawaomba tuongelee mambo ya jiji letu la mwanza kama kulinganisha tufanye mlinganisho wenye tija mfano moshi mji msafi na sisi mwanza tufanye nini mji huwe msafi, mfano dar kuna maflyovers je kuna mikakati ya jiji la mwanza kupata flyover🙏🙏🙏
Sawa mkuu ila Mimi Mwanza yangu natamani iwe na hivi vitu viwili
1. Chuo kikuu cha serikali Mwanza
2.uwanja wa mpira wa kisasa
3.Barabara zinazotoka na kuingia jijini ziwe na walau njia nne na kuendelea
 
Mbona mnaanza kulinganisha miji mara iringa mara moshi, nawaomba tuongelee mambo ya jiji letu la mwanza kama kulinganisha tufanye mlinganisho wenye tija mfano moshi mji msafi na sisi mwanza tufanye nini mji huwe msafi, mfano dar kuna maflyovers je kuna mikakati ya jiji la mwanza kupata flyover🙏🙏🙏
Kaka si Ulisema tuachane na flyover mpaka tupate njia nne kwanza? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kama Kuna wadau au viongozi wanaoupitia huu Uzi nilitamani sana mwanza kuwe na yafuatayo
1. suala la urasmishaji wa maeneo ya milimani ni suala la kisiasa, nilitamani kama mkoa umeamua hivyo, basi raia wapewe namna ya kuyaendeleza maeneo Yao ikizingatiwa kuwa ni taswira na uso wa Jiji hivyo hayapaswi kuonekana rough vile yalivyo sasa hivi. Wanaoshindwa kuendeleza waondolewe na pale wawekezaji wakija kutaka kuwekeza wapewe maeneo wajenge vitu vya kueleweka. Kuweka siasa kwenye maeneo katikati ya miji ni kushindwa kufikiria ipasavyo, mbona suala la machinga liliwezekana
2.kuendeleza fukwe na kuimarisha utalii wa ziwa, kuwe na sport boat za kutosha pamoja na facilities zote za msingi hii italeta watu wengi wenye uchumi wa kati hivyo mzunguko wa pesa utakuwa poa
3. Kuwe na kumbi kubwa za mikutano level za kimataifa ili kuvutia asasi mbali mbali kuja kufanyia mikutano Yao.
4. Kuwepo na maeneo ya recreation ambayo yanakuwa na migahawa Bora ya kisasa, sports facilities, super markets pamoja na swimming pools
5. Kuwe na viwanja vya ndani vya michezo mbalimbali kama netball, volleyball, basketball, boxing na swimming pool
6. Kuwe na museum kubwa ambayo ndani mwake inakuwa na maktaba ya kihistoria.
7. Kuwe na chuo kikuu, rocky city university au mwanza university chenye fani nyingi kama ilivyo UDOM.
8. Kuwe na kiwanja Cha mpira kikubwa na Cha kisasa
9. Kuwe na sehemu Bora na ya kisasa kwa ajili ya maonyesho mbali mbali ya kimataifa . Hata pale nane nane siyo rafiki kufanyia maonyesho ya kilimo kwani hakuna facilities za kujizuia na mvua ikitokea imenyesha, hakuna migahawa wakati maenesho haya huambatana na biashara pia. Tuwe na maeneo mawili ambayo yako-equiped, eneo kwa ajili ya maenesho ya nane nane na eneo kwa ajili ya maenesho ya bidhaa za kimataifa . Mkoa wafungue macho hizi ni fursa wanaziacha tu.
10. Uwanja wa ndege wa level ya kimataifa
11. Bara bara za njia sita au zaidi
12. Uwanja mkubwa wa mpira wa miguu
Haya yakifanyika yatavutia makampuni, asasi mbali mbali na watu wenye uchumi wa kati kuwekeza au kuishi mwanza. Matunda yake ni kama yafuatayo.
. Kuongezeka kwa mahoteli mazuri kwani kutakuwa na ushindani wa ubora wa hizo hotels ili kuvutia wateja. Hotel nyota Tano zitajengwa mno.
. Uwekezaji kwenye sector zingine kama malls, modern restaurants, clubs, banks, apartments n.k vitaongezeka
. Mji itapemdeza mno

FAIDA KWA MKOA NA WAKAZI
. wepesi wa misha kwani mzunguko wa Hela utakuwa mkubwa
. Ongezeko la makusanyo
. Mji utatanuka na mahitaji
 
Kama Kuna wadau au viongozi wanaoupitia huu Uzi nilitamani sana mwanza kuwe na yafuatayo
1. suala la urasmishaji wa maeneo ya milimani ni suala la kisiasa, nilitamani kama mkoa umeamua hivyo, basi raia wapewe namna ya kuyaendeleza maeneo Yao ikizingatiwa kuwa ni taswira na uso wa Jiji hivyo hayapaswi kuonekana rough vile yalivyo sasa hivi. Wanaoshindwa kuendeleza waondolewe na pale wawekezaji wakija kutaka kuwekeza wapewe maeneo wajenge vitu vya kieleweka. Kuweka siasa kwenye maeneo katikati ya miji ni kushindwa kufikiria kwa ipasavyo, mbona suala la machinga liliwezekana
2.kuendeleza fukwe na kuimarisha utalii wa ziwa, kuwe na sport boat za kutosha pamoja na facilities zote za msiingi hii italeta watu wengi wenye uchumi wa kati hivyo mzunguko wa pesa utakuwa poa
3. Kuwe na kumbi kubwa za mikutano level za kimataifa ili kuvutia asasi mbali mbali kuja kufanyia huko mikutano Yao.

12. N.k

Umeongea vizuri kaka,
Kitu ninachoona viongozi na wabunge wa mwanza wanaridhika na vitu vidogo

Mfano 1.
Mwanza ni jiji, kweli unajenga barabara ndani ya jiji haina pedestrian pavements? Hakuna taa, hata sehemu zenye taa ziko upande mmoja na bado haziwaki.
Wakiambiwa tutajenga barabara mwanza wanaridhika hata kama ni ya kiwango hafifu.
Buhongwa Igoma wameshindwa kutetea ijengwe njia nne.

Miradi mingine kama tampere park unachora michoro unaita matajiri kama kina Gachuma, uzuri tuna matajiri wengi unawaonyesha hapa tunataka pajengwe hivi.

Upande wa barabara tumshukuru astald kwani ndie aliyejenga barabara zenye pavement la sivyo ingekuwa aibu.
Barabara za nyanza huwa ni za ovyo wanajenga kama kijijini.

Hatuna tabia ya kufanya maboresho, mfano soko la mwaloni pamoja na kuingiza pesa nyingi halifanyiwi maboresho, kuweka taa tu imeshindikana, pavement katikati ya mji zinabomoka hakuna matengenezo.

Tunaogopa sana kutumia pesa tunataka vya bure,
Kwani halmashauri haiwezi kutenga bilioni moja kila mwaka wanajenga maghorofa kama magomeni watu wa milimani wanahamishwa.
 
Hili suala lipo kwa viongozi wengi tu wakubwa, huwa hawana maamuzi kwa ajili ya miaka 30-50 mbele, Hata Arusha ile dual carriage wanayo ringia ni hekima z JPM the same to Ilemela. Daraja la Busisi, Ununuzi wa ndege mpya, ujenzi wa Airports nchi nzima. Kwa wabunge wetu wa Mwanza hakuna mbunge anayeweza kusimama kuomba dual carriage tu nyingine katikati ya jiji
 
Mwanza bado hatujapata viongozi, anatakiwa mtu mwenye exposure na Yuko focused na anayejua Nini anapaswa kufanya. Habari ya kutegemea Nini Rais aseme ndicho wafanye ni kukosa maarifa wakati wana nafasi ya kubuni Miradi na kuishawishi serikali au kuitengea fedha kwa mapato Yao ya ndani. Tatizo mi naona wamelewa siasa sana uongeaji na mwingi kuliko vitendo. Hivi wangekuwa viongozi wa mikoa ambayo fursa hizi Haina wangeweza kweli. Naibu meya namuamini sana kwasababu ni kijana ila nahisi wameshamwingiza kwenye dimbwi la porojo. Fursa zipo jamani hebu wazione watekeleze hata kwa awamu. Wabuni Miradi ambayo Ina faida kubwa kwa mkoa, Kanda na Taifa kwa ujumla.
 
Mwanza bado hatujapata viongozi, anatakiwa mtu mwenye exposure na Yuko focused na anayenua Nini anapaswa kufanya. Habari ya kutegemea Nini Rais aseme ndicho wafanye ni kukosa maarifa wakati wana nafasi ya kubuni Miradi na kuishawishi serikali au kuitengea fedha kwa mapato Yao ya ndani. Tatizo mi naona wamelewa siasa sana uongeaji na mwingi kuliko vitendo. Hivi wangekuwa viongozi wa mikoa ambayo fursa hizi Haina wangeweza kweli. Naibu meya namuamini sana kwasababu ni kijana ila nahisi wameshamwingiza kwenye dimbwi la porojo. Fursa zipo jamani hebu wazione watekeleze hata kwa awamu. Wabuni Miradi ambayo Ina faida kubwa kwa mkoa, Kanda na Taifa kwa ujumla.
Nikitembelea page za Halmashauri zetu miradi mingi ya maendeleo ni madarasa, vituo vya afya, wacha tuone miaka mingine mitano kama watakuwa na the same story, kuna sehemu tutakuwa tunakosea
 
Mimi sioni sababu ya mitaa ya mwanza kujaa maduka ni uchafu.
Kama kuna umuhimu wa maduka yakusanywe sehemu moja.
Nhc wana majengo choka mbaya unaongea nao wanajenga shopping centers za kila mtaa, kuna kuwa na Lumumba shopping center, Rwagasore shopping centre, Karuta shopping centre, pamba shopping center nk
Zikishajengwa wale wenye maduka mtaa husika wanaambiwa leseni ikiisha unatakiwa kuhamia kwenye sopping Centre ya mtaa wako.

Biashara yoyote kwenye main roads ikiwemo maduka zipigwe marufuku, kila kitu kina hitaji kiasi na utaratibu.

Mtu akiwa na kiwanja barabarani anawaza kujenga frame hata kama eneo si la biashara, huwa wanaenda kutembea nchi za wenzetu sijui huwa wa najifunza nini,
 
Hili suala lipo kwa viongozi wengi tu wakubwa, huwa hawana maamuzi kwa ajili ya miaka 30-50 mbele, Hata Arusha ile dual carriage wanayo ringia ni hekima z JPM the same to Ilemela. Daraja la Busisi, Ununuzi wa ndege mpya, ujenzi wa Airports nchi nzima. Kwa wabunge wetu wa Mwanza hakuna mbunge anayeweza kusimama kuomba dual carriage tu nyingine katikati ya jiji
La dual carriage mabula stanslaus huwa analiongelea sana bungeni ila ni kwa vile ana influence wala exposure ila ingekuwa ndo yule mama mabula ameliongelea ingekuwa imeshajengwa ndo maana kuna kipind nilipendaga makonda ndo angekuwa mbunge wa nyamagana
 
Barabara ya buhongwa Igoma ameshindwa nini kutetea iwe njia nne? Achana na barabara kubwa za kuingia na kutoka mza hizo lazima zitajengwa tu serikali haiwezi kukwepa ingawaje zingejengwa njia sita ingependeza.

Igombe, Sangabuye kunapimwa viwanja wanaonunua huko matajiri kwa hiyo watakuwa na magari, hii barabara ys Airport mpaka nyanguge Angelina angepiga kelele iwe njia nne angalau 20km kutoka Airport.

Mbona Dodoma wanajenga njia nne maporini?
 
Mimi sioni sababu ya mitaa ya mwanza kujaa maduka ni uchafu.
Kama kuna umuhimu wa maduka yakusanywe sehemu moja.
Nhc wana majengo choka mbaya unaongea nao wanajenga shopping centers za kila mtaa, kuna kuwa na Lumumba shopping center, Rwagasore shopping centre, Karuta shopping centre, pamba shopping center nk
Zikishajengwa wale wenye maduka mtaa husika wanaambiwa leseni ikiisha unatakiwa kuhamia kwenye sopping Centre ya mtaa wako.

Biashara yoyote kwenye main roads ikiwemo maduka zipigwe marufuku, kila kitu kina hitaji kiasi na utaratibu.

Mtu akiwa na kiwanja barabarani anawaza kujenga frame hata kama eneo si la biashara, huwa wanaenda kutembea nchi za wenzetu sijui huwa wa najifunza nini,
Wazo lako zuri lakin ,halitekelezeki Kwa sababu tuko kwenye free market economy,ambapo Kila mtu ana uhuru wa kumiliki means of production na business..
Hilo wazo lako linawezekana kwenye mfumo wa kishoshalist.central planned economy..
All in all , serikali itengeneze mazingira na framework ambayo itasaidia kuwepo na uwekezaji wa shopping center za kisasa na zilizo katika mpangilio mzuri
 
Siku naingia mwanza pale nata nikapokelewa na dereva wa golden crest nikalala VIP room nikaona ziwa kwa mbali hadi raha eh nahapo pembeni yake kuna pub ambayo ni disco kila weekend ndio nilisikia wimbo wake kwa mara ya kwanza sisikii
 
Wazo lako zuri lakin ,halitekelezeki Kwa sababu tuko kwenye free market economy,ambapo Kila mtu ana uhuru wa kumiliki means of production na business..
Hilo wazo lako linawezekana kwenye mfumo wa kishoshalist.central planned economy..
All in all , serikali itengeneze mazingira na framework ambayo itasaidia kuwepo na uwekezaji wa shopping center za kisasa na zilizo katika mpangilio mzuri
Hii free market economy ndio maana watu wanajenga hovyo milimani.
Ngoja nijikalie kimya
 
Policy za mipango miji zipo kwenye makaratasi, tatizo utekelezaji, siasa ia nguvu sana kuliko taaluma. Watu wanafikiria kuwin votes zaidi. Suala la kudeal na squartters za milimani ni tamko tu sema watu wanahofia kupoteza kura.
 
Back
Top Bottom