Mwanza: Chalamila akabidhi ofisi kwa RC mteule

Huu ndo uanaume, kilio cha samaki machozi yanaenda na maji! Mwanaume analia ndani nje smile! Hili la kukabidhi faster ni la mfano, baadhi ya wazee wetu na hata vijana wenzetu mnatuaibisha hua mnakua na longolongo mnapotakiwa kukabidhi! Safi
Ni maagizo mkuu.

Akabidhi asubuhi ile ile
 
Mi naona uzalilishaji, huyu mama kakosa Imani, hivi angefanyiwa yeye au kizazi chake angejisikiaje, usimfamyie mwenzio kitu ambacho ukifanyiwa wewe kwako ni maumivu.
 
Mama anacheza makida.hatoboi 2025,wajumbe wanamchekiiii ,Kama vile hawaoni.anasumbuka bule kuhangaika na kupanga safu yake,haya mambo yalikuwa enzi zile,kwa ss wajumbe wamejanjaluka .bi mkubwa tulia,acha kuhangaika na mauteuzi,fanya kazi tizione.mpaka ss hakuna jipya kutoka kwake.
Umepitwa na wakati wewe.

Kama mpaka sasa huoni alilolifanya Mama basi utachelewa sana ndugu.

Watendaji kata wanaenda kula posho nzuri huku miradi mikubwa ya kimkakati ikienda kutimia.

Nyinyi na chuki zenu na husda zenu mtafeli tu.
 
Mi naona uzalilishaji, huyu mama kakosa Imani, hivi angefanyiwa yeye au kizazi chake angejisikiaje, usimfamyie mwenzio kitu ambacho ukifanyiwa wewe kwako ni maumivu.
Mama alishasema Ukimzengua anakuzengua.

Muwe mnaelewa watu wakizungumza. Uchizi na Uchale kwenye mambo serious hayana nafasi kwenye serikali ya awamu ya sita.
 
Mama alishasema Ukimzengua anakuzengua.

Muwe mnaelewa watu wakizungumza. Uchizi na Uchale kwenye mambo serious hayana nafasi kwenye serikali ya awamu ya sita.
Alichozingua Nini kibaya, mzalilishaji, sawa na mkuu wa mkoa wa Moro yule Masai, alifanya Nini kibaya, mpaka kamtema, ingekukuta wewe ungejisikiaje? Ukweli kusema.
 
Alichozingua Nini kibaya, mzalilishaji, sawa na mkuu wa mkoa wa Moro yule Masai, alifanya Nini kibaya, mpaka kamtema, ingekukuta wewe ungejisikiaje? Ukweli kusema.
Kama anavyoteua ndivyo anavyotengua.

Sisi ni nani tumpangie Mheshimiwa rais???

Kazi na iendelee
 
Comedy zake nitasimisa ..sina udamu .mkinga sijui mhehe na sukuma hatuingiliani
Du! du! du! Mkuu! ulikuwa unafurahia action za huyu clown? Mimi watu kama hawa wakati huwa wanafanya siku yangu kuwa mbaya sana sana ninapokutana na upotoro wao. Nina list ya viongozi ambao unafikiri na kujipendekeza kwao huwa kunanipa hasira mno.
 
Yaan mm ilikua nikimuona naanza kucheka...ameniuma...ila huyu hajatocha watu kama sabaya na makonda!
 
Back
Top Bottom